concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Haikukidhi viwango vya kuingiza matumizini ,π€£π€£π€£This was back in 2005, and the project failed.
Zipo ila watu walishachomoa Trailer, wanazitumia kama pikipiki tu.Haikukidhi viwango vya kuingiza matumizini ,π€£π€£π€£
So itabidi utengeneze njia kadhaa za juuu na chini ambayo Inaweza pelekea kukawa mzuio wa maji tofauti na daraja , kumbuka mto msimbazi ukarabatiwa woteKivipi?
Kwamba zipo kama ambulance au kama pikipiki?Zipo ila watu walishachomoa Trailer, wanazitumia kama pikipiki tu.
Hakuna ambulance ya pikipikiKwamba zipo kama ambulance au kama pikipiki?
Now lets us come to the reality on the groundWewe ni kuropokwa tu, GNI, HDI, na hata GDP per Capita zote zikona maps to summarize the data. Hakuna hata map moja umepost ni kelele tu kama chiriku. Wewe pumbavu unataka kubishana na data za wataalamu na umbea za articles unaokota online.
Ukiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?So itabidi utengeneze njia kadhaa za juuu na chini ambayo Inaweza pelekea kukawa mzuio wa maji tofauti na daraja , kumbuka mto msimbazi ukarabatiwa wote
We mbwa unatuletea something 2014As if hapo kwenu hazipo. π€£ π€£ π€£
Kwanza nyie ndio magwiji wa Bajaj Ambulance.
Alisikika Mkunya mmojaDar is a slum hakuna street benches, sasa hajui kazi ya hizo benches. Actually hata za Nairobi sijawai kuona mtu amesimama juu. Tabia mbaya sana hio.
Nadhani kaka mpaka sasa hakuna official design iliyokuwa published. Nimejaribu kufuatilia kwa kina sana.Ukiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?
Lengo la pale kudhibiti mafuriko kwanzaUkiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?
Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, kuunganisha Salender, Jangwani, Morocco rd na ilalaLengo la pale kudhibiti mafuriko kwanza
HDI Kubwa π€£π€£π€£
Morocco kuna project ya flyover. Nadhani inasubiriwa pesa tu.Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, waunganishe Salender, Jangwani, Morocco na kigogo.
Dah maskini wenyewe wamesha accept hii hali it is part of their life business as usual.
Truly said.Wakenya niwape siri nchi za kisocialist huwa zinaguza miji yake kwa kasi. Hivyo vijiji wanavyovitengeneza ubadilika na kuwa miji haraka. Exammple ni china na urusi.
The world is not fair yaani wenzako next door on the North side wanalalamikia vitu vya msingi No AC, Kelele nginjangija too much shaking na soot problem wewe unataka upunguziwe AC dah!!!!!Malamiko yangu wapunguze Ac watatua , Mimi sio wa kuvaa sweta saa sita mchana buana.
Yaan kama wametumwa kutokea njombe