babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,424
- 36,033
Jinsi ukiwaskia wanavyojitamba! Wameenda kupora ardhi ya South Sudan!Nyang'au akina Teargass wao bado wanaringia maghorofa tu😂
View: https://m.youtube.com/watch?%20v=M9rz65DOBSQ
Cc: Mimi Wewe Yule
Sasa tuhamishie focus on Wantam football is not our cup of tea😁Ugali FC, Kasongo Kids Aka Midomo nation wakundustan sasa hivi wapo kimyaaaa wanafikiria cha kutokea😂
Sisi tunaburudani kila siku huku CHAN, AFCON, Champions League, Confederation cup, African Super Leagues zote tunashiriki burudani kwa kwenda mbele. wao sasa once every 5 years wanapata ushiriki kama huu wa CHAN mwaka huu na bado hawakufuzu walishiriki kwasababu ya hosting tuu.Wakiona Tanzania inashirika AFCON 2025 halafu wao hawashiriki makasiriko ndo yanazidi. 😂😂😂
Hapo kwenye hiyo Yard Kuna kitu Very Iconoc kinashushwa hapo na Africab😎
Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.Tangu pigo hili turushe wakenya wote akilizao zimekuwa za maandamano kila mwezi
View attachment 3452149
View attachment 3452152
View attachment 3452154
View attachment 3452155
waambie wakuoneshe a three level interchange kama hio wakikuonesha naomba unitag 😂😂😂😂😂Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.
Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
Estates kwetu ni kama Quarters too sehemu za watu maskini.Kwa Kenyans wanaodhani shobo ni ESTATES na SMART CITIES.
Tanzania estates hazijawahi kiwa na mafaniko.
Hii ni Kigamboni👇👇
View: https://youtu.be/VPmaIBsRcb8?si=667mywtRzBuk_ycf
Kumbuka a third ya Tanzania ni National reserve kwa ajili ya wildlifeHuoni hata aibu mna ardhi mara mbili yetu ilhali mmetuzidi na 10% only
Kenya wangepita nayo ila hii inaonesha sisi hatuna njaa na tunazingatia maadili mema.
Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.
Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
Ujinga mzigo how do you measure money stuffed in the pillow cases?
I remember a previous argument I had with a certain Bongolala here regarding China development. Yes China is an economic powerhouse but just like India it’s overly populated meaning there is a large section of population that’s left behind in the pecking order of Capitalism ( political system aside). It’s the same in the US and Western Europe or other large first world economies. The difference is in the numbers. Too many rural peasants in China are still in third world status .They skew the numbers. Imagine 500 million Chinese are in rural areas . If rural China was a country , it would rank third in population. The urban areas are economically a different story though.
Sasa ni nini cha kujigamba hapa. Akili yako iko Sawa kweli? Or you escaped from the rehabilitation centre?Wakenya wenzio wakijigamba Tanzania ni Kenya.
View: https://x.com/JogooRangi/status/1959643351105282366
Wakenya ndio ndoto zao.Estates kwetu ni kama Quarters too sehemu za watu maskini.
Sijui nicheke ama nikuhurumie.Hii inaonesha consistency ya Madagascar kufika semi-finals sio bahati au kwa mgongo wa refa as you narrow mindedly put it. They are regulars in the semi-finals and this is shows how strong a team is.
KiberaWalker, umekula leo?Sijui nicheke ama nikuhurumie.