Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenyekiti hizi picha isingeoiga wewe wangesema hapa Tanzania kwa Kuwa kuna Nyagi πŸ˜‚. Wakundustan wanakula Nyagi pia πŸ˜‚

View attachment 3451305
tena ndio pombe pendwa kwao, na wanapenda sana bia za kutoka bongo hata sigara pia hvo hvo hasa ile sportsman inapendwa sana kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ile eastleigh hua hamuoneshwi zaidi ya ile barabara moja ya BBS iliojengwa kwasababu ya mall ya msomaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



View attachment 3451296View attachment 3451297
Kuna mtu alisema Wakundustan wanazaliana kama kumbikumbi, Hizi taka nyingi ni diapers za watoto maana yake zote zimebeba mizigoπŸ˜‚, Kweli hii ni Flying toilet City . Maana mru yupo juu kule anatusha tu chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…