Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani tulikuwa tunaongelea life expectancy hapa? Kondoo wewe.
Haha life expectancy na health expectancy zote zinaendana moja imebase kwenye afya tu nyingine imebase in total ikimaanisha healthy and unhealthy situations , huwez sema una healthy expectancy rate kubwa huku una low life expectancy ukajisifu maana bado watu hawafikishi Ile miaka rasmi ya kufa . Nincompoop Rudi shule
Healthy Life Expectancy (HALE) = only the healthy years.

Years lived with health issues = LE – HALE.
πŸ”Ή Example for Tanzania:

LE β‰ˆ 67 years

HALE β‰ˆ 58.5 years

Therefore, 8.5 years are expected to be lived with illness or disability.
πŸ”Ή Example for Kenya:

LE β‰ˆ 66 years

HALE β‰ˆ 57.7 years

Therefore, 8.3 years are expected to be lived with illness or disability.
β€” life expectancy is the total package, while healthy life expectancy zooms in on the quality portion.
 
Waulize mbona watu wote wa county ya Taita Taveta hufata matibabu bora kwenye hospitali za Tanzania! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmeshindwa kuleta zako na huku hapa unapinga kila kitu. Show us your credible source tuone basi.
Kwamba that data filler, alizunguka all countries akafanya evaluation??

Jakaya Kikwete Cardiac institute Wakenya mmejaa.

Muhimbili National Hospital Mmejaa.

Ocean Road Cancer institute mmejaa.

Hapo bado private hospotals kama Selian, Aga Khan, Kariuki, KCMC etc.

Haya hapo bado Health centres na regional hospitals zilizoko mipakani kama Rombo, mmejaa.

Mnacjojua ni data cooking tu.

Tell me any health service mna-offer Tanzania haipo??
 
You are an idiot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…