concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Unaona mwenzenu hakupata usingiziFocus, CAF walisema watatumia CHAN kupanga AFCON, sasa wamejua which stadiums will we always be empty. 🤣 🤣 🤣 Mumeshindwa na CHAN, mumetuletea aibu na viwanja empty sasa AFCON munadhani munaweza.
Yes, hapo kwa Shell ya Greenspan.Iko pale Greenspan Mall phase 8 ama?
Gor mahia wanaweza jicommit hiviFocus, CAF walisema watatumia CHAN kupanga AFCON, sasa wamejua which stadiums will we always be empty. 🤣 🤣 🤣 Mumeshindwa na CHAN, mumetuletea aibu na viwanja empty sasa AFCON munadhani munaweza.
Sahau hilo bro.Is like Kenya is appealing yesterday's decision by the Senegalese ref to disallow a genuine goal. If it goes through, Kenya could be in the Semis
You already failed the first litmus test by having empty stadiums, our issues have been easily resolved by having fan zones. Nyinyi mumeshindwa kujaza viwanja despite paying the least amount of money for entry.Subiria na uone halafu uje ushangazwe, tumekuwepo mwenye game la Mpira na kwetu ni biashara utashangazwa na kitakachotokea , kwenu tayari mnakashfa ya kuwa na vurugu. Hiyo ni taa nyekundu kwenu pia kumbuka mtakuwa kwenye uchaguzi ,lazima mchinjane kidogo tegemea kuona hata hizo rights mnapoteza
Hamna hela buana mlikuwa mnaenda kushangaa sprinklers tu baada ya renovation.You already failed the first litmus test by having empty stadiums, our issues have been easily resolved by having fan zones. Nyinyi mumeshindwa kujaza viwanja despite paying the least amount of money for entry.
Wajulie wapiSahau hilo bro.
It won't happen my friend,refer to match of CAFCL between Yanga and Mamelody sundowns.
Hiyo imeenda mshatoka.
Basic things like which!?Most of your city ni informal settlements that lacks most basic things.
Your stadiums were still empty for CHAN, 1 month tournament hamuwezani nayo ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣 Uganda has proved why the have a higher GDP per Capita than bongoslum.Gor mahia wanaweza jicommit hivi
Azam FC ilimweleza Feisal Salum mpango wa kuongeza mkataba kwa miaka 2, kuanzia 9 Juni 2026 hadi 8 Juni 2028.
Ada ya kusaini (Signing-on fee): Azam ilipendekeza Tsh 805,254,286, ambayo itawekwa kwa awamu; net atayopokea baada ya tozo ni Tsh 563,850,000.= 28mil ksh
Mshahara wa Miezi: Tsh 79,092,064; baada ya makato (iller NSSF na kodi), net inakadiriwa kuwa Tsh 50,000,000.=2.5mil ksh
Nyumba iliyokamilishwa (Fully furnished house) na tiketi nne za usafiri wa mashua (return boat tickets) kwa msimu mmoja kati ya Dar es Salaam na Zanzibar zimejumuishwa kwenye mk
ataba.
Usishangae kuona hawa nyang'au wanaamini wao wamefuzu kombe la CHAN.😂Acha kukaza fuvu kijana
KFC has opened their 6th branch in Eastlands. After Donholm definitely Komarocks will be next.
View: https://x.com/KFCinKenya/status/1957784454170087732
Maskini wamejulikana, CHAN ishatuonyesha you can't reverse it.Hamna hela buana mlikuwa mnaenda kushangaa sprinklers tu baada ya renovation.
History haiwezi potea kwa maua ya masika🤣🤣🤣
Vipi kuhusu Kenyan league ya mwaka mzima na bado mnashindwa lipa mpaka wachezaji wenu.Your stadiums were still empty for CHAN, 1 month tournament hamuwezani nayo ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣 Uganda has proved why the have a higher GDP per Capita than bongoslum.
🤣🤣🤣🤣🤣Maskini wamejulikana, CHAN ishatuonyesha you can't reverse it.
Mambo ya CHAN hutaki kuskia. 🤣 🤣 🤣 Mumezoea mipango za timu mbili.Vipi kuhusu Kenyan league ya mwaka mzima na bado mnashindwa lipa mpaka wachezaji wenu.
Tumewwwmbiw nyinyi mlikuwa mnaenda shangaa sprinklers
Ulipe nani na hata hamsini ya CHAN hamna. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maskini il analipa vizur ,?
Tushazoea mashindano kabambe sio hayo ambayo kwenu ni ndoto🤣🤣🤣Mambo ya CHAN hutaki kuskia. 🤣 🤣 🤣 Mumezoea mipango za timu mbili.