Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nilisema mm hakuna team ngumu kama madagascar hawa jamaa wana viungo wazuri sana wenye talent kubwa sana πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

hela za ticket zimekwenda na kunyanduliwa wamenyanduliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu hao Madagascar tuliwafunga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nilisema mm hakuna team ngumu kama madagascar hawa jamaa wana viungo wazuri sana wenye talent kubwa sana πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

hela za ticket zimekwenda na kunyanduliwa wamenyanduliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu imekuwaje wamecheza mechi mchana naskia wanaficha Yale mataa yao hafifu kuwaaibisha.
 
Tumepigwa lakini Dunia imeelewa Kenya inaenda soccer. Ije AFCON tutazidisha. Every town and city in Kenya was fired up by screening of soccer. It will be bigger during AFCON
HOMABAY

Kitale

Nairobi

Na kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…