Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana wa Tandale, these figures about slum dwellers in Nairobi don't add up but because you are a bongolala, you won't understand anything. Wacha nikupe mfano na Kibera. Kuna articles kadhaa mitandaoni zinazosema Kibera alone has 2.5 million people, zingine zinasema it as 1.5 million people alafu kuna zinazosema it has 700k people. This then begs the question: who's speaking the truth?

Nairobi has slums hatukatai coz sisi sio kama nyie who excell in denial but the truth is that not even a quarter of Nairobi residents live in slums. Kuna baadhi ya maeneo Nairobi yanatajwa kama slums ila yakiletwa hapo Dar ni bora mara mia kuzidi uswazi zenu zilitapakaa kila mahali. Wacha nikupe mfano na Ruai ambayo inatajwa kama slum
 
Takataka
 
Show videos?
 
Ruto has to report to Washington DC with immediate effect.
Halafu kuona Tz tumepata movie studio za kisasa Zanzibar na yeye anakwenda kulilia apatiwe studio.
 
H
Na tunaweza sana , am sure ni more of inside loans kuna habari nilisoma Crdb loaned 1trillion tsh. ila sio donor fundedView attachment 3443210
Hiyo sio loan kwa serikali bali ni bank guarantee kwa contractor incase serikali imechelewesha malipo ya mkandarasi basi wanaweza wakachukua hela through CRDB kuendelea na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…