Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na tukiwaambia wakenya hawafuatilii Tanzania mnapinga. Kama national stadium ya Tanzania pekee ndio hawajui, do you think wanajua hata Tanzanian capital city kweli?

Kule Vumbistan hadi mtoto wa Chekechea anajua every MCAs in Kenya.
Wangese awafuatilii TZ kiundani,mnaifuatilia kwa kukaririshwa thus y mkija kuona TZ ilivyo vijuso vinawashuka maku nyie,kunyan BlietzKrieg juzi alidai eti binafsi hawezi kununua kiwanja dar eti tu yote ni uswazi,acha nicheke peke yangu 😂,bwege pesa ya kununua kiwanja chanika tu hana
 
Wakenya hawafuatilii Tanzania. Hizo story zingine jiekee.
 
Kenyans invest heavily in government bonds, stock market and MMF's. Hio ndio uzuri ya kuenda shule na sio kua primary school dropouts kama jirani.


View: https://x.com/MihrThakar/status/1955669059443265805
Kenya is a very weak nation compared to Tanzania. 🤣🤣🤣🤣 without world order nyie ni Burundi tu. Anyways sahii na hiyo hiyo world order we are taking our position. 👇🏾
View: https://youtu.be/ZHXlXIM3S24?si=3Ox1rXm1cJZNQsGY. Sisi sio wenzenu tena ******** zenu. Sisi tushawasha gari, ni gear tu sahii. 🤣🤣🤣🤣 … kuna mpumbavu yoyote mkenya kuanzia Ruto, mwenye akili kuliko mtanzania.?
 
Who are they?

Somalis, expats, refugees or Kenyans?
 
Alafu wakiona debt ya Kenya is high wanadhani ni ya wazungu Kumbe ni wakenya ndio wanakopesha serikali pesa zao.

By the wengi wa hawa watanzania wa hapa hawaelewi anything kuhusu money literacy.
Shida ya kuwachia shule grade 7.
 
You have been taking your position since early 2000's 🤣 🤣 🤣 Kwani hamfiki.
 
Shida ya kuwachia shule grade 7.
There was a time I was discussing about MMF, government bonds, bills, REATs, Saccos and Shares and these baboons were really surprised by what I was talking about.

Hao wanadhani kuweka pesa kwa bank accounts and chini ya mattress is the end of money management 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…