ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Kinachokusumbua ni ukosefu wa Exposure.Sasa mnafanya SEZ?..😁😁… I wonder where you got the idea from..🤪🤪
| Taifa | Sheria/Asili ya SEZ | Mwaka wa Kuanzisha | Maelezo Mengine |
|---|---|---|---|
| Tanzania | EPZ (2002), SEZ (2006), Mini-Tiger Plan (2005–2020) | 2005 kuanzia utekelezaji; 2007 EPZA kuanza kazi | Mkapa SEZ ndiyo ya kwanza kufanyika |
| Kenya | SEZ Act 2015 | Sheria ikaanza kazi Desemba 15, 2015 | SEZA inaleta muundo wa udhibiti mpya |
Katika Uajemi ya kale (karne ya 5 KK), Mfalme Ahasuero (Xerxes I) aliandaa kile ambacho leo tunaweza kukifananisha na mashindano ya urembo ili kuchagua malkia mpya baada ya kuondolewa kwa Malkia Vashti.I am not being critical but I find it very ironic how you guys are critical of western culture and accuse Kenyans of “kujifanya wazungu” yet hereby is an event that is 💯 westernized hata DJ couldn’t play a local song 🤣🤣🤣, then tomorrow utasikia a Bongolala saying Wakenya wanajifanya Wazungu…hamna msimamo 😁😁
Sasa mnafanya SEZ?..😁😁… I wonder where you got the idea from..🤪🤪
| Nchi | Sheria ya SEZ | Mwaka iliyopitishwa |
|---|---|---|
| Tanzania | Act No. 2 ya 2006 | 26 Machi 2006 (saini), chapishwa 14 Aprili 2006 |
| Kenya | Act No. 16 ya 2015 | 11 Septemba 2015 (saini), chapishwa Septemba 2015 |
Don’t take me out of context.. to put it in other words, we never invented affordable housing or SGR either… you get my point …🤣🤣🤣Kumbe suala la SEZ limeanzishwa na wakenya na hatujui.? 🤣🤣🤣
Kaka usiwashtue hao malazy wa north,acha waendelee kukaririfoleni hio boda ya mutukula tanzania and uganda magari yanayotoka tanzania kuingia uganda foleni ni kubwa over 3km
aise nimefurah sana kuona mizigo sasa inapitia bandari ya dar kwenda uganda kwa wingi kiasi hichi am so happy sasa tunagawana ile cake ya uganda
View attachment 3439177
Hii hii summer time znz iko full upande wa blue safariIt's summertime abroad, of course primary school dropout huwezi jua.
Ako kateam kenu hamna mchezaji hata m1,atakayeanza first 11 pale YangaAfter today's signings by Gor Mahia, this Harambee Stars Squad is made up of 10 players from Gor Mahia.
View attachment 3439467