Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland hamjafuzu bado.
Au hujui na hizo point saba bado mko sehemu mbaya kwa sababu lolote linaweza kutokea!
Nikikuambia nenda kacheze rede huwa niko sahihi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe subiri Mmorocco aje awa**mbe mikundu
 
Kunyaland hamjafuzu bado.
Au hujui na hizo point saba bado mko sehemu mbaya kwa sababu lolote linaweza kutokea!
Nikikuambia nenda kacheze rede huwa niko sahihi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watafuzu tu,kwa pesa ile waliyohaidiwa hata mimi ndio ningekua mchezaji,ningepambana hata kuvunjika shingo mradi tushinde,kunyan players wanajitoa kwa timu yao hiyo tukatae tukubali,huku kwetu mmoja wa watu wa benchi la ufundi uwa tunashare kijiwe pale shaurimoyo opposite na al haramain,aisee ni mpondaji mkubwa wa makocha na wachezaji wa kigeni,leo yupo stars yy na wenzake wanachokifanya wanajua wenyewe kumbavu
 
Wachezaji wetu wanajituma vizuri changamoto tuliyo nayo ni kocha.
 
Nchi nzima ni machokoraa hawa jamaa 🀣🀣🀣 wapumbavu wao humu wanatupigia kelele tu, kumbe wanavunja mageti ili kukajaza ka uwanja ka 48k seats
Bongolala tiketi zilkua sold-out one week to the game. Mnajaribu kujiliwaza na argument zenu za kijinga, kubalini nyinyi ni maskini hamna pesa ya kuattend game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…