Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ni wale walilipiwa tickets na serikali. Ama unasahau serikali Yao ilinunua 10,000 tickets kuepusha aibu?😂😂
Ni kipi bora government ya TZ kulipia wananchi wake waingie uwanjani kuangalia foorball
ama
Serikali ya KE kushindwa kuwalipia wavuja jasho wa Kibera, mathare na Mukuru kwa Njenga kuangalia mpira na wao kyamua kuvamia geti na kuingia Bure uwanjani? NYIE NI MBWA TU MNA MAISHA MAGUMU KINOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…