The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Sisi ni timu za taifa zinazingua hasa kipindi hiki cha Wallave Karia na makocha wake was*ng*!Leo hii kelele wamekuwa wakitupigia humu kitaisha. Walidhani hii competition itatuvua nguo alafu wao ndio wanavuliwa. I'm sure AFCON mambo yatakuwa hivo hivo. 🤣 🤣
Mambo ya on pitch wameachana nayo wamehamia kwenye mashabiki na viwanja vyao vya 40k seats, kile kingine hakina hata 30k plus no roof.Kwa hizi stats wangekuwa wanajua Mpira wangenyamaza tu kwa aibu, bahati mbaya hawajui mpira ndio maana kelele ni nyingi humu.
Noma sana. 😂😂😂
View attachment 3435380
Viwango vya kushindwa kujaza Stadium?😂😂😂Jichekeshe na Mavi ya kale ila kwa rekodi za sasa Tanzania ipo juu kwa viwango kuliko Kenya.
Yes. Huwezi linganisha Burkina Faso with any team in the Kenyan and Ugandan group.Burkina Faso viwete!?
Ona hii kiazi.
Tafuteni sababu ila Kenya mpira hamunaaa!
Aibu ni kushindwa kujaza Amani Stadium of 7k seats😂😂😂Huu uwanja hauna hadhi ya ku host michuano mikubwa, ni aibu sanaa kwa huo ukanda wenu wa EA.
Very good stats for playing with 10 men.Kwa hizi stats wangekuwa wanajua Mpira wangenyamaza tu kwa aibu, bahati mbaya hawajui mpira ndio maana kelele ni nyingi humu.
Noma sana. 😂😂😂
View attachment 3435380
We ni makalio Burkina Faso iko juu ya Zambia na Angola kirenki ya Fifa.Yes. Huwezi linganisha Burkina Faso with any team in the Kenyan and Ugandan group.
Nenda kacheze rede.Very good stats for playing with 10 men.
Kha! Yaani nyang’au ni kama watoto wadogo vile😂Kwa hizi stats wangekuwa wanajua Mpira wangenyamaza tu kwa aibu, bahati mbaya hawajui mpira ndio maana kelele ni nyingi humu.
Noma sana. 😂😂😂
View attachment 3435380
Pass accuracy 65% kukiwa na maana walikuwa wanabutua bila plan. 😂😂😂Kha! Yaani nyang’au ni kama watoto wadogo vile😂
Kabla hii tournament haijaisha mnuka mavi atakuja akuambie hii ni league ya amateur, we subiri uone, na yule mlevi mwingine BlietzKrieg atakuja akuambie michuano takataka hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nenda kacheze rede.
Rank haiechezi ball Mr. Quack.😂😂😂😂We ni makalio Burkina Faso iko juu ya Zambia na Angola kirenki ya Fifa.
Ila huu uwanja hapana kwakweli, kama ndondo cup🤣🤣🤣🤣🤣🤣The games in Nairobi zimejaa vaibu, kwa bongolala utadhani kuna matanga. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/bedjosessien/status/1953538763747209234
It's the only team kwa top 100 kwa hio group yenu. Nyinyi wengine wote si mko bottom 100. 🤣 🤣 🤣We ni makalio Burkina Faso iko juu ya Zambia na Angola kirenki ya Fifa.
Na Zambia wanawabaka na Angola nao nusu wawabake leo.