ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,863
Yaani hii nchi ni Ugali tu kila siku😂😂😂😂😂
Niambie kilichobaki ndani ya hii picha. I can see kijiko ya nyama, Upanga, cbd and Kariakoo.So hzo picha ndio umeona kila kitu😂 yani tazama hata umbali wa hzo picha na ile ya nairobi picha haijapigwa mbalia na kila kitu kina fit kwenye one pic
Republic of Talkovia action zero
385m is insane. Longer than any aircraft carrier in the worldNo port in Tanzania can accommodate this ship. For Lamu port there is more 54m quay length to spare.
View: https://x.com/lapsset/status/1953359848759763289?t=WSv3Cym9xv9MJJlxzd6F1g&s=19
TPA inaonekana vizuri sana kwenye ile picha. Sisi sote tunajua Kariakoo na TPA ni pua na mdomoKariakoo iko wapi mbugila tope wewe!?
Hapo Kuna Kijitonyama, Victoria na Makumbusho.
Aya tuoneshe Kariakoo iko wapi hapo!?
The longest ship in the world is 399meters. So in real sense hakuna Meli that can’t dock at Lamu Port.385m is insane. Longer than any aircraft carrier in the world
The guy from Republic of TalkoviaLamu Port imetoa makucha. The biggest ship to dock in East Africa.
View: https://x.com/lapsset/status/1953359848759763289
Nyang’au Teargass anadai uwanja umejaa hata sehemu ya kutema mate hakuna😎Kabla ya mechi.
View: https://x.com/2guy7/status/1953362309696430314?s=46Muda wa mechi. 😂😂😂
View: https://x.com/kenyanslive/status/1953442674570047518?s=46
Serikali yao inachezea pesa kwa kununua tickets ili kucontrol watu wa kuingia uwanjani. 😂😂😂Nyang’au Teargass anadai uwanja umejaa hata sehemu ya kutema mate hakuna😎
Bwege nenda kashangae jua kali renovation,na mashindano yenyewe yakiisha uwanja mnafugia kuku maku,sisi tuliushangaa mkapa stadium miaka 15 iliyopita and still uko vizuri na utaendelea kuhost match kibao za mashindano makubwa,TZ msimu timu zake zote 4 zitazoshiriki michuano ya CAF zimejiwekea kufika fainaliNyinyi hamjui na hampendi ball pia. Ni midomo na kelele Tu.
Maneno 100 ya mkunya chukua 1 songaaaaKabla ya mechi.
View: https://x.com/2guy7/status/1953362309696430314?s=46Muda wa mechi. 😂😂😂
View: https://x.com/kenyanslive/status/1953442674570047518?s=46