President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,722
- 94,416
Correction kidogo mwenyekiti huyo sio wa kutoka nje ni Mtanzania. Ana mpaka passport ya Tanzania mara nyingi hua anaionyesha kwa video zake.Mtalii kutoka nje ameshnagaa kuona SGR hii africa anasema ni zaidi ya hata nchi za europe π
View: https://youtu.be/q_bYLQ6CzeI?si=smShhigTwZLiAv-x
Zitaje, huwezi, lakini sisi tunakupa live. Dar is a Slum. Confirmed
View attachment 3434553
Nimetoka na kitu kumbe King Long ndie Baba wa Xiamen Golden Dragon na Higer Buses.
Be honest who is 30years backwardsWB Wako sahihi, mbona liko wazi sana, ufukara wao haufichiki π, wageni wanafika wanaona maisha ilivyo na walivyo wenyewe wanasema Tanzania is backwards 30 years in comparison to Kenya.., π€£π€£π€£π€£
We maku tushahost final ccfl mara 2,kujaa kwenu uwanjani ni ushamba tu wa uwanja uliokarabatiwa kijua kali,TZ tulifanyaga hivyo miaka 15 iliyopita,kama nyie watu wa mpira muulizeni musonye chokoraa mwenzenu huko kwenye slums 110,why miaka yote cecafa cup zinafanyika TZ,mkapa ishaanda match kubwa zaidi 100,na CAF hawajawahi kutupiga faini,nyie na congo tena chan vurugu zake sasa,washamba nyinyiMatch gani kubwa mshaihost mushinda CHAN? The tournament in bigger than CHAN in Africa is AFCON na bado hamjawaihost AFCON. So Mr Chokoraa ebu tuwaambie ni nini mlihost?
Road marking huwa hamzingatii kabisa, yn kama haina umuhimu kwenu.
Be honest who is 30years backwards
Kenya
View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
Tanzania
View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
unless musafishe slums zote kisumu na water supply iwe ya uhakika, ikiwa maji tu inawashinda mutaweza mashindano nyinyi ng'ombe?Kisumu beats Kigali
View attachment 3434550
Mna shobo na wasomali, ila wanawaona takataka tu.Eastleigh Nairobi
View attachment 3434552
Do you hear yourself?Wewe huoni after ile law yao in Kenya, only the CS involved addressed it and the rest was on social media while in Uganda, they even rioted and harassed some Tanzanians doing business their but in the minds of Bongolalas, ni Wakenya pekee wameumia.πππ
Be honest who is 30years backwards
Kenya
View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSXfhj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
Tanzania
View: https://vm.tiktok.com/ZMSoSCEdp/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
Ivi hao jamaa hawaoni the more wanafungua midomo ndio wanajiaibisha, yaani mtu anajipiga domo eti walijaza uwanja, while watu wamenunuliwa tiketi na Ruto, wamevamia uwanja, wamevunja mageti kuingia bure, still kiwanja empty.
unajua shida ya wakenya wao wanataka kushindana na tanzania kwenye kila jambo, wakiona tanzania inafanya vzr wao wanataka waoneshe wamefanya zaidi wakat wana tumia tax payers money ovyo kujionesha wako juu kumbe makalio yanatoa harufu ππππIvi hao jamaa hawaoni the more wanafungua midomo ndio wanajiaibisha, yaani mtu anajipiga domo eti walijaza uwanja, while watu wamenunuliwa tiketi na Ruto, wamevamia uwanja, wamevunja mageti kuingia bure, still kiwanja empty.
You wonder dah
Roho inakuuma ukiangalia hiyo picture sema unajikaza, meanwhile ππππ€£π€£π€£Zitaje, huwezi, lakini sisi tunakupa live. Dar is a Slum. Confirmed
View attachment 3434553
Ndio walivyo na Wa Howo na Shacman, wote Boss mmoja , wote Weichai EngineππNimetoka na kitu kumbe King Long ndie Baba wa Xiamen Golden Dragon na Higer Buses.
Nilijua ni tofauti maana niliyaona King Long buses.
Wachina wanajua kutujulia imagine kuna mtu yupo Happy Nations (Higer Buses) wanaletea unazi kwa Ally's Star (Golden Dragon) huku wakimchamba RATCO na CIVITO (Kinglong)
Huku Mchina anawachora π