Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://vm.tiktok.com/ZNdxdaovg/ maku hii ni lini?
 
Pipeline iko vile vile.

Ila karibu na pipeline hapo, muna estates nyimgine hapo inaitwa Fedha, ndio hizi nyumba kwenye hii picha

Hakuna aliyesema hapo ni fedha leta evidence mwenzako ndo anajifanya kudanganya kuwa pipeline imesafishwa kwa kuleta picha za uongo. Ebu quote aliposema hapo ni fedha kwa picha alizoleta mwenzako

Kwa hivyo hapa ni Fedha eti. 🤣 🤣 🤣 Ama unataka kujifanya hujaona Don YF alikua amepost hio picha pamoja na picha zingine za pipeline.
 
Kwa hiyo hizi picha ulizoweka ni za Leo baadabya kusafishwa
 
Uelewa wako finyu ebu rudia kusoma hiyo sentensi Tena .
Umeambiwa karibia na hapo pipeline kuna estate nyingine inaitwa fedha . Kwa hiyo kauli unaona kaongelea picha.
Yaleyale ya skd ni process🤣🤣🤣🤣
 
Shida ya wazee kila kitu wao hujifanya wanajua. Yani hamtaki kubadilika na kuwa dynamic kimawazo kabisa.
Wacha nitunze tu heshima yangu kwako kwa hili.
Sasa, hujawahi hata kuniona kwa sura, but tayari your assumption mimi ni mzee. Badala ya fegi, mitungi, mademu na other addictions, jitahidi kuwa addicted na fact-oriented approach.
 
Hii pipeline hata ni area moja tu ndio hua na hio shida ya takataka, and the reason they do that, ni ju hawataki hio area isafishwe because the rent prices will shoot up. Na hio street ndio Mosiria hushinda ameenda huko.
 
Kwanini nan kapinga wewe leta maeneo ambayo ni masafi kwa picha za hivi karibuni sio maneno
 
Wewe ndio unasema hivyo, don't force words on me., follow my argument keenly, iko humu, kilaza ni jina la mwisho la Mtanzania 🤣🤣🤣
Video za Leo ni hiyo

View: https://vm.tiktok.com/ZMSEHMxtM/

Wewe uwezo wako ni mdogo unashindwa hata Kutafuta genuine pictures,🤣🤣🤣🤣
Kweli Leo wakenya mmeprove mlivyo vilaza
 
Hii pipeline hata ni area moja tu ndio hua na hio shida ya takataka, and the reason they do that, ni ju hawataki hio area isafishwe because the rent prices will shoot up. Na hio street ndio Mosiria hushinda ameenda huko.
Imagine na hiyo uchafu still houses hapo looks far better and standard than Uswazi hovels🤣🤣🤣🤣.,
 
Pipeline iko vile vile.

Ila karibu na pipeline hapo, muna estates nyimgine hapo inaitwa Fedha, ndio hizi nyumba kwenye hii picha

Uelewa wako finyu ebu rudia kusoma hiyo sentensi Tena .
Umeambiwa karibia na hapo pipeline kuna estate nyingine inaitwa fedha . Kwa hiyo kauli unaona kaongelea picha.
Yaleyale ya skd ni process🤣🤣🤣🤣

Unapinga na he has clearly said hizo nyumba kwa hii picha ni Fedha. Bongolala kama malaya kweli. Fedha yenyewe hata huijui na unaropokwa tu.

Picha ndio hii usiwe mjinga.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…