I want to show u how stupid u are:.,
Picha zako hizi hapa👇👇.., no cabro, wakati pipeline was muddy(matope)., no cabro no termac., sijaongelea uchafu., pipeline is ghetto ila kwa kauli yenu uswazi zenu eti sio ghetto..,
your picture..,👇👇🤣
wapi cabro ama termac????.,
Kisha hii sehemu leta 2025 tuone..,
Sasa ya 2025 where people are irresponsible with waste management how does it contradict me??? ebu wewe nieleze?., ulizo okota na ku post ni za 2025 eti? boss am not a propagandist kama wewe, ndio maana nilikuambia ingia google earth scan through uone level ya sehemu unazo dhania ni slums tulinganishe na uswazi zenu zilivyo tapakaa..,
Street za Pipeline.., besides waste issues...,
Sasa leo hii hiyo sehemu ulio onyesha with the county environmental guy kwa ground, Kuna uchafu? Kwa vile jamaa kasafisha.., na hizo nyumba utafananisha na zile uswazi zenu ya vyoo vya nje mingi za shimo?.., boss!!!!! hatufanani...,