Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kitu ni ya moto moto sana. East, Central and South Africa inahamia hapa. Kimya kimya hatupigi kelele. Tutakuja kuwatisha tu mwaka mmoja tutaweka Budget yetu $100B ndio watakapochanganyikiwa
Wafanya biashara wenyewe wa viatu na nguo wanakuja kustock kariakoo kwakua kwenda China ni gharama na hapo Tanzania ni cheap.
 
Teargass nairobae furaha yenu imezimika kama mshumaa. Kenya imekaa top dakika 86 tu.

View attachment 3430180
Hasta hatuna issue hapo. Nyie mkitaka shida kombe. Sisi ni kuwatch ball kusell nchi na kuwa entertained.
Today at KICC


Meanwhile in Today's match at Mkapa

Let me say, nothing like this has ever happened before. Yarabi!!!!
 
Sisi siyo washamba wa football. Kwenu ni mara ya kwanza International Teams kuja ndio maana mnashangaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…