Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LAFC sucks … I am LA Galaxy … we would never recognize a low talent artist like Diamond..🀣🀣🀣
Wacha kujipa umuhimu mkundurenda mpumbavu, no one knows you. We kaoshe vyombo sijui ubebe box πŸ“¦ za wenyewe huko. Unajipa umuhimu kwa Diamond.? 🀣🀣🀣🀣 kuna ******* wengine bhana. Diamond anaweza kukuajiri ukate majani pale nje kwake.
 
Hiyo ni N-card inayotumika kulipia usafiri eidha wa kivuko ama mwendokasi.
Sio ATM card hiyo.
Maana ya ATM card ndio hujui? Ama unadhani ATM ni ya kutumika bank pekee? Kweli wewe ni fala wallahi. Any card inserted to make payment or withdraw money is called an ATM card.
 
Atajua wapi kama hiyo ni N-card. 🀣🀣🀣 hajawahi Ona popote kitu ka hiyo in his entire life.
Baboon umepata ATM card Juzi sasa hatutapumzika? Alafu Huyo quack pia ni Kama hata hajui ATM card ni nini.
 
Any card being used for payment is called an ATM card. Yani watanzania ni wajinga ama?
 
Baboon umepata ATM card Juzi sasa hatutapumzika? Alafu Huyo quack pia ni Kama hata hajui ATM card ni nini.

Any card being used for payment is called an ATM card. Yani watanzania ni wajinga ama?
Hiyo ni ATM card.)? 🀣🀣🀣🀣 can someone withdraw money with N-card…? Hujui hizo vitu bush boy. Stay on your lane.. vitu hizo utawahi Ona siku ukitoka hapo kunyarenda.
 
Hiyo ni ATM card.)? 🀣🀣🀣🀣 can someone withdraw money with N-card…? Hujui hizo vitu bush boy. Stay on your lane.. vitu hizo utawahi Ona siku ukitoka hapo kunyarenda.
Did you miss the part I said that any card being used for payments which is your N-Card is still considered ATM? Ama wewe ATM ni ya withdrawal tu?
 
Any card being used for payment is called an ATM card. Yani watanzania ni wajinga ama?
Ficha UFALA wako unazidi kujiaibisha.
ATM card -Automatic teller machines zinahusisha uunganishwaji wa akaunti ya fedha na matumizi ya muhusika kutoka kwenye akaunti yake ya fedha ya kibenki.
N-card ni card zilizounganishwa kimtandao kwaajili ya specific payment.N-card matumizi yake yapo specific,na N-card ni lazima uilipie kwa kuingiza kiasi cha huduma husika ndio upate huduma.

Unajiaibisha Wacha kuongea .
 
Sasa wewe quack utajua wapi maana ya ATM card? Nyinyi ndio wale wanaamini ATM card ni ya withdrawal pekee. Fala sana.
Narudia kukufundisha,ATM card ni Kadi inayojumlisha huduma za kifedha kutoka akaunti ya benki ya muhusika.
N-card ni kadi iliyounganishwa kimtandao kwaajili ya huduma aina fulani.N-card haihitaji rununu ila HUWEZI kutumia ATM card bila rununu.
ATM card ni Kadi ambayo ipo more personal ila N-card anaweza kutumia yeyote tu kwaajili ya kurahisisha malipo ya huduma husika.
Mfano mie naweza kukupa N-card yangu kama Ina Salio uka swipe tu kwenda kuingia kwenye kivuko ama mwendokasi.
Ila ATM card yangu HUWEZI kutumia pasi ya mm kukupa rununu/password.
 
Actually I am well known in my neck of the woods .. but for you Mr. Rebrand, you always be a baboon to us..😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…