Uhuru ameingilia wapi kwa mambo ya ndege yenu iliyopo Canada?Kumbe hata wewe ukiwa rais wa Kenya utafanya kama anavyofanya Uhuruto, kujilinganisha na Tanzania wakati you don't have muscles for that.
Ni Wazee wengi wako na hiyo simu so be specific juu sikuelewi.mrudisheni kwanza mzee wa iphone7😀😀😀
Kwasababu mimi nimejenga hoja kuizungumzia Kenya, nilitegemea wewe jibu lako lingelenga kujibu hiyo hoja, sio kufungua mjadala mwengine kabla hiyo hoja haijafungwaUhuru ameingilia wapi kwa mambo ya ndege yenu iliyopo Canada?
asiwe mjinga mpenda sifa 😀😀😀😀😀 kama anatumia techno akubaliane na hali yake naona kashakumbiaNi Wazee wengi wako na hiyo simu so be specific juu sikuelewi.
Ata prism ni 30atakwambia prims tower wakat hata 30 halijafika😀
mkenya ni mtu mjinga sana kwenye kupenda sifa ilimradi aonekane yuko juu lakini kiuhalisia sio kweliAta prism ni 30
Hawa jamaa ni kupika data2
Hasahasa kwenye urefu
Wanaandika2 ilimradi huwez kufika na kuthibitisha
Afu eti wanasema kitower nilichokuwa nakijua tangu zaman leo kawe 38 ghaflaghafla from 30[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Af eti kwa akili ya kawaida TPA ambalo ni 40 lizidiwe na UAP ambalo ni 33 kweli????
Uku ukiwa Nairobi UAP haina tofaut na millenium tower
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
dar es salaam
Maneno mengiiii ...content zeroo hamna kitu ameandika mswahili, insha bila maudhui![emoji3] [emoji191]Thesis umefikisha wapi?
Hivi unajua kuorodhesha unaweza orodhesha tu,na mlivyo na hulka ya uongo hatuwezi wakubalia kirahisi.ni over 20+ flrs ndio ilikua ishu au ni minara??
Britam iko na 33flrs, nilijua mwenzako hatamaliza battle bila vurugu, nikamwambia ni 21flrs.
Thread ya battle over 20+ flrs alikimbia kama anadaiwa 7 towers hajawai rudi
[emoji12] [emoji12]Unatuma picha ya babako
Mzizima washapita floor ya 35 , nilienda kuhesabuKulen mchicha muangalie kwa mbali
Apo ni from manzese darajan(9km from citycentre)
Mzizima tower ishafikia 35flr na wenda zikaendelea kupanda ni kama MNF 32flr badala ya 30
Au ppf zaid ya 40 uku mkidhan 35
Kumbukeni2 apo nyie mna 33flr kamoja
Nyingine ni under[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jengo gani hilomwambie huyo Never Settle. mshenzi sana
Mbona TPA in 40 fl Mimi nimekuwa floor ya 39T tower ni 38 floors...Mimi binafsi nimekua 36th floor acha ufala
Wenye akili wameelewa vizuri sana, wasio na akili wataonaje na kuelewa heavy duty posts kama hizi?Maneno mengiiii ...content zeroo hamna kitu ameandika mswahili, insha bila maudhui![emoji3] [emoji191]
iphone 6s red custom edition( fire resistant)
View attachment 663156
iphone 7
View attachment 663157
wabongo jamani tuache unafiki na uongo....kenya wametuacha mbali sana kwa maendeleo
Hahaha is famous more than trumpvyuma vimekaza sana kenya....dada yake kolo kaona bora adanganye ulimwengu kuwa kazaa na diamond ili aondokane na ugumu wa maisha huko kwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
BTW in kenya diamond platnumz is more famous than uhuru,ruto and mike sonko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vitu vinapandishwa2Mzizima washapita floor ya 35 , nilienda kuhesabu