Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes, We'll talk about villages because that's where we had gaps in terms of access and connectivity, unataka tuongelee connectivity na access mijini? Ulienda shule kweli ?
Electricity connectivity is measured by households not villages. Na hapo utapata kuna vijiji only have power line along the tarmac roads. 20 meters from there unabaki bila any trace of even a pole.
 
It's curious thing, how do you guys expect Tanzania to generate jobs for Kenyans?
Halafu you are all over crying , the whole country crying over Jobs in Tanzania 😄😄😄
Jamaa wanajipa umhimu sana asee imagine nchi nzima is crying


While ameenda kuokota podcast unknown yenye comment fresh, kutafuta sympathy.

 
Toka huko ulikojifungua Chukua Tahmeed sehemu haijafikiwa na umeme uje useme kenge nyie. Kelele kingi mwisho

View attachment 3426859
Hawa watu wamekaririshwa sana , Jana kuna mmoja tulikuwa tunaelekezana sehem flani kuhusu ban .eti Tanzania imejiandaaje na kuwapa mitaji vijana wake nikamwambia mbona kuna program ya 10%.
Ukiwabana kwenye facts wanakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…