Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yote hayo wanayajua vizuri sana, Dr. David Ndii anawaambia kila mara lakini hawasikilizi, kuna wakati aliwaambia kwamba ni vema hiyo SGR ikaishia Nairobi, kutoka Nairobi hadi Kampala, waikarabati RVR, hawamsikilizi, ndiyo sababu anakua na hasira muda na anaongoza kampeni ya kujitenga.

Kenya wakumbuke kwamba, Geographically ina bahati mbaya sana, kupakana na Somalia, South Sudan na Ethiopia, zote hizo hazina biashara ya maana, badala yake ni vita na maugomvi ya koo za mipakani, nchi pekee wanayotegemea ni Uganda, pia nchi yao Mungu hakuijalia mali asili nyingi kama Tanzania, viongozi wa Kenya walipaswa kulijua hilo na kufanya miradi ambayo uchumi unaweza kuhimili, wao wanadhani kushindana ili kuonekana wapo mbele ndiyo muhimu, ni sawa na Hiace kukimbizana na Range Rover, hata kama imetangulia umbali gani, itapitwa wakati mwenye Range wala hajui kwamba mwenye Hiace anashindana.
 
unaona sasa ulivyo mpuzi? under 20flrs to 15flrs ni kama zaidi ya mia mbili hapa Nairobi. sina mda huo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] times ni 30flr
Huoni aibu ata roho inakuuma
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yimes ni 30flr
Huoni aibu ata roho inakuuma
nilishaona ujanja wake ndio maana nikamwambia aweke picha moja baada ya moja ili niende nae sawa nashangaa kakimbia😀😀😀😀 alijua kuna mtego mbele yake
 
hata huyo mchumi aliongea hvo hvo kenya inataka kushindana na tanzania wakat haina resources matokeo yake wanakopa pesa ambayo inazidi kuwagharimu
leo angalia kq inavokufa huku inajiona , na walionywa wapunguze ndege walizo lease ili wapate hafueni ya loss amerudisha kama ndege 6 hvi lakin bado mkaidi ili tu aonekane ana fleet kubwa lakini loss inazidi kuwatafuna kila mwaka, shirika linakufa vibaya sana huku idadi ya watalii wanayoitegemea inazidi kuporomoka zaidi na zaidi, hata kampuni ya tullow imetupia mbali plan ya kujenga pipeline na badala yake watasomba kutumia gari kwasababu kaona hasara ajenge pipeline 700km alaf kwa siku pipeline inapitisha 2000 drums mambo yamezidi kua magumu sasa ameona ili asionekane ameingiza nchi kwenye hasara ameanz kumlilia mganda asimtose kwenye SGR
 
Eti hichi ndo wanasema ni 38[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uku kina 30
Tena juzjuz2 ndo wamebadili wikipedia
Itabidi nianze kuirekebisha sasa
hawa dawa yao ya uongo ipo mbona😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…