Watakuambia hao ni wasomali utafikiri hapo ni Mogadishu kumbe hapo hapo chini ya kende zao😂. Ila watapost ile Mall kubwa ya wasomali na kusifia hapa Kenya 😂.Hii Eastleigh ni chafu kuliko Kibera, Kenya ni chafu mnoo 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
Hata speed boats anatengeneza!Songoro anatengeneza vivuko.
Sijaona speedy boats
Zanzibar ni beaches.Hivi mnajua uwanja wa arusha umejengwa pembeni ya NHC project Safari city.? 👇🏾 View attachment 3412064wenyewe walikua waneshaanza ujenzi 😄 👇🏾View attachment 3412065hopefully it will resume anytime soon, we make it happen.
My take:-
Arusha imepata fursa ya kutengeneza mji mpya within the city of Arusha. So many development projects to come out.
Arusha iko na potential ya kuwa better kuliko Zanzibar or elsewhere in EA as far as tourism is concerned.
BTW mziki wa Zanzibar ni mwingine vile visiwa vilivyokodishwa ujenzi wa facilities ukiisha sijui kama kutakuwa na upinzani upande huu wa Africa wa Indian ocean!Zanzibar ni beaches.
Arusha ni SAFARI.
LADHA tofauti
Nimependa Point hii hapa:
Last week nilikua Dodoma, yo my brother Njedengwa ni moto wa kuotea mbali, zile gorofa ndefu zote wanazojenga ziko karibuni kuisha, ukiwa unaanza kuingia tu mjini unakaribishwa na view ya Njedengwa, it’s really coming up .. NCC link inapigwa hands down.
Huu uwanja upo tofauti sn na viwanja vingi vya ki Africa, huku Africa viwanja vingi vinafanana na amahoro au hoima, the likes of talanta wa Kenya, yn design zile wazungu walitumia miaka ya 90sArusha stadium 🏟️ View attachment 3412054View attachment 3412055View attachment 3412056View attachment 3412057kuna mbwa mmoja alikua anasema eti bado tunachimba msingi. 🤣🤣
Yeah ni kweli mkuu, Arusha stadium is very unique. Sio basic kama ule uwanja wa jirani zetu wa north. 🤣🤣Huu uwanja upo tofauti sn na viwanja vingi vya ki Africa, huku Africa viwanja vingi vinafanana na amahoro au hoima, the likes of talanta wa Kenya, yn design zile wazungu walitumia miaka ya 90s
Haya majitu ni majinga sn, sikuwahi kujua kabla kama wakenya ni wajinga hivi.Watakuambia hao ni wasomali utafikiri hapo ni Mogadishu kumbe hapo hapo chini ya kende zao😂. Ila watapost ile Mall kubwa ya wasomali na kusifia hapa Kenya 😂.
Walijenga kushindana na mkapa wakasahau Mkapa ina handle more than 65k spectators.Yeah ni kweli mkuu, Arusha stadium is very unique. Sio basic kama ule uwanja wa jirani zetu wa north. 🤣🤣
Heheheeee wamekwepa ma cancellation ya KQ, tukiwaambia humu wanadhani tunaongopa, aya ona aibu hii, national team haitumii national carrier 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣