President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Haja kuandika bullying words. Wewe kama unahoja leta. Mimi hapo nilikuwa naongelea EAC Federation je, majibu yako hayo yanahusiana na hoja yangu?wcha ushamba wewe Congo Basin ni Bantu origin other ethnicities ni wahamiaji! End of story!
Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.Kaka hiyo Collapse ya zamani mno. Ndio maana ilianzishwa tena. Changamoto zilizosababisha kuanguka zitatafutiwa ufumbuzi.
Soma hapa 👇 👇 👇
The East African Community (EAC) Political Federation, the fourth pillar and ultimate stage of the EAC integration agenda, has seen both progress and challenges over the past 25 years. This initiative aims to integrate the EAC Partner States into a single federated political entity to enhance regional stability, facilitate cooperation, and create a unified voice on the global stage.
Building a United East Africa: The Journey Toward the EAC Political Federation
The East African Community (EAC) is a regional intergovernmental organisation of eight (8) Partner States, comprising the Republic of Burundi, Democratic Republwww.eac.int
Kaka usikimbie ukweli
East Africa Federation
View attachment 3408624
Hatuzungumzi kuhusu kupenda ama kutokupenda, tunazungumzia kuhusu aftermath ya huo muungano.Kaka mambo ya kuungana siyo ya utashi wako. Ni mwelekeo wa EAC. Na huu Muungano siyo kila mmoja ataupenda but jiandae kaka soon. Soma hapa
Building a United East Africa: The Journey Toward the EAC Political Federation
The East African Community (EAC) is a regional intergovernmental organisation of eight (8) Partner States, comprising the Republic of Burundi, Democratic Republwww.eac.int
Wahamie Tanzania na waache kuhamia DRC? Kaka hebu nakuomba uwe serious. Hebu nitajie akina nani hao.Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.
Matatizo ya hayo mataifa yatahamia kwetu tu.
Nitafurahi sana siku boat za Bakhresa na Zanfast ferries zitaanza kwenda Mombasa!Mmegundua nini kwenye hii video?
101K views · 1.7K reactions | Rafiki yetu kutoka kenya ametuhusisha vyema katika video hii BM COACH Nairobi--arusha--dar es salaam Umegundua nini kwenye hii video ! 📹 @_daxified_ 𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂 #TanzaniaBuses #SafariBora
Rafiki yetu kutoka kenya ametuhusisha vyema katika video hii BM COACH Nairobi--arusha--dar es salaam Umegundua nini kwenye hii video ! 📹 @_daxified_ 𝘼𝙇𝙇 𝙏𝘼𝙉𝙕𝘼𝙉𝙄𝘼 𝘽𝙐𝙎𝙀𝙎 || 𝙆𝙪𝙢𝙗𝙖𝙩𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙛𝙖𝙧𝙞 🫂...www.facebook.com
Haya ni mawazo yako. Lakini huo ndio mpango wa EAC mimi nimekuwekea maelezo official ambayo viongozi wa Tanzania wameyaridhia. Huo woga wako binafsi hauwezi kuzuia mpango. Unachotakiwa ni kujiandaa tu usije kukutwa hujajiweka sawa.Hatuzungumzi kuhusu kupenda ama kutokupenda, tunazungumzia kuhusu aftermath ya huo muungano.
Tusichukulie vitu kiwepesi aisee.
Hizo nchi unazozitaja zina matatizo lukuki ambayo wenyewe yamewashinda,kama tukiwakaribisha chini ya bendera Moja basi mzozo utakua mkali sana.
Hapana walete ya njano naona mnajivutia Kasi kwenu tuWalete na ya rangi nyekundu sasa 😁
Kuruhusu watu kusafirisha mazao nje ya nchi bila vibali siyo solution ya tatizo la ajira.Ajira kwa Tanzania ni mfumo wetu wa ccm, laiti ingekuwa baadhi ya mambo wanaachilia hii keki ya taifa haitutoshelezi.
Mfano tu Leo ukitaka safirisha mchele kwenda nje tu vibali vyake si vya Dunia hii laiti ingekuwa kuna free market au kuna sera za kuwanufaisha wananchi Tanzania hatukupaswa kuwa na tatizo la ajira.
Shida siyo ukosefu wa wataalamu. Shida yetu ni WAGE BILL.Leo hii ukizunguka karibia Kila shule za kijijin mahitaji ya waalimu ni zaid ya nusu ya walliopo, same to manesi,madaktari,wahasibu ila serikali inaajiri kidogokidogo sana.
Sijakuelewa upunguze Import duty halafu upate tena pesa 5% uipate kutoka wapi wakati hum-charge importer??Hivi kwa mfano wakisema wapunguzze import duty kutoka 25% mpaka 20% then hii Tano ikaingizwa kwenye mfuko wa ajira
Hapa sijakuelewa.then kwenye mazao yote ( ushuru) ukaweka introduce 20% kwenye ushuru uliokuwa unatozwa kwa ajili ya mfuko wa ajira then baada ya hapo ukaajiri maeneo yote yenye uhaba.
Maana utakapoongeza watu na mapato lazima yaongezeka.
Halmashauri zote zina vibarua wa mapato.Mfano ukiajiri vijana 200 kwa ajili kuhangaikia mapato kwa jiji kama dar es salaam tegemea mapato kupanda twice
Mimi nadhani LNG ndo ilitakiwa ipewe kipaumbele sana kuliko CNG ila anyway kama wataanza poaLNG mradi mdogo utaanza hivi kaributi surely wataweka tuu huko mbeleni.
tumechoka rangi za mbogamboga mkuu miji mikubwa huwa na red busesHapana walete ya njano naona mnajivutia Kasi kwenu tu
sasa unaisafirishaje na unai-store (hifadhi) vp na unaitumiaje bila LNG kuwa CNG? unajua maana ya hizo terms? Na unatakaje mradi wa LNG tu bila local content? Kinachofanyika sasa ni kuondoa curse ya kusafirisha LNG nje bila kutumika ndani!Mimi nadhani LNG ndo ilitakiwa ipewe kipaumbele sana kuliko CNG ila anyway kama wataanza poa
Hiyo EAC ipo kwenye makaratasi tu na sio uhalisia, usije kutegemea ipo siku Africa itaungana, labda waafrika sisi wa kizazi hiki wote tufe alafu vijukuu vya wajukuu zetu ndiyo huenda wakaungana mana wakati huo watakuwa wameelimika vya kutosha na njaa haitakuwa wimbo wao. Hivi mkuu ngoja nikuulize, unategemea kuwa na EAC alafu mmoja wa members ni Kenya? Unategemea kuwa na EAC alafu mmoja wa members anaenda nje kutukana wenzie ili apate msaada?Lengo la Umoja wa East Afrika ni kuelekea kwenye East Africa Federation. Sasa kama hamuwataki hao watu kwanini mliwaruhusu kuwa kwenye EAC? Halafu ijulikane aliyeasisi EAC ni Tanzania. Mkapa aliwashawishi wenzake na kuanzishwa EAC baadae Burundi na Rwanda zikaongezwa.
Nadhani hapa mnakuwa na woga wa kitu ambacho hakipo.
Naomba unijibu umuhimu wa hao watu kuwa kwenye EAC.
Dola moja ni uhuni.Hadi sasa Kuna changamoto chungumzima katika hii community still bado EAC Ina mianya kibao ya kurekebisha na haitakua healthy kuanzisha dola Moja na nchi zote hizo.
Matatizo ya hayo mataifa yatahamia kwetu tu.
GDP kubwa alafu miji vumbi tupu, inafaida gn kuwa na GDP ya hivyo alafu maandamano ya ugali kila siku, Rais wao anasema wakenya zaidi ya robo tatu wana share choo cha shimo, na tulisema humu wakabisha, leo president wao ana confirm kwamba ¾ ya wakenya wana share choo cha shimo. Alafu mtu akiniambia eti GDP ya Kenya ni kubwa huwa nashangaa sn, hivi are we serious kuita ka GDP ka $100B ni kubwa? Tuache masihara jmn, GDP inayo produce umeme usiozidi 3000MW ni kubwa hiyo? Huu ni uchale wakuu.watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.
Embu panua akili kidogo,Burundi Ina matatizo ya ndani ambayo mengine yanachagizwa na ukabila.Wahamie Tanzania na waache kuhamia DRC? Kaka hebu nakuomba uwe serious. Hebu nitajie akina nani hao.
Just Imagine, Mozambique, Angola, Sudan, Ethiopia zipo kwenye federation hii. Unadhani akina nani watahamia Tanzania na kuijaza na sisi tukakosa? Je, unawaogopa Luo? je, unawaogopa Tutsi? Unawaogopa Kikuyu?
WOGA WAKO NI NINI HASA?