Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hajui kwamba yeye na hiyo media wanaharibu investment market ya Tanzania. People can just skip Tanzania for reading such articles online. Na ubaya AI chats na google wanacollect all those info online. Mtu akigoogle about investment environment in Tanzania, google wataleta such results

He failed yes in Tanzania but there are successful investors in Tanzania.

Na pia sis watz inabidi media zetu sometimes zifocus na achievements za baadhi ya watz kwenye Tech.
Naona wanaongelea GePG, Bus bora, mwendokasi app, Tausi etc. walipaswa waliodevelop hio mifumo wawe wanapewa platform na media, hii it's inspire vijana wa kitanzania zaidi kudevelop mifumo zaidi ya namna hiyo.
Huyo Ferdinand anajisifia his achievements kama yeye tu. He doesn't care about Tanzania and business space. Anawaharibia Tanzania Investment Center
 
media ya Wakundustani hiyo!
 
Kenya wanapata positive credits and rankings google kwa sababu media zao Zinapublish everything positive about Kenya online hata kama ni uongo.

Ndo maana ukigoogle countries with electric train in Africa, AI na google itakuletea Kenya as one of the mentioned hata kama media zao zinasema wako kwenye plan ya electrification.

Anything positive about Tz should be published online tena hasa na hizo media za kingereza
 
We don't need to. Tutakuwa tunapoteza pesa bure tu. Hiyo ipo configured na Westerns. Kuzionesha nchi ambazo zipo na mlengo tofauti nao kuwa zinamaisha magumu. All western media will never publish positive about Tanzania.

Tanzania ikifanya maandamano kidogo tu media zote zinazo milkiwa na Western watapiga kelele na kuichafua Tanzania. Just Imagine issue ndogo tu ya Tundu Lissu kushitakiwa, mpaka bunge la ulaya wanakaa na kuchukua siku nzima kuiongelea Tanzania. Miguna Miguna mpaka alifukuzwa kenya hakuna Western media iliriport negative.

Hiyo ndiyo vita tupo nayo kaka.
 
Huyo jamaa kwanza hajafanya kitu kipya chochote.

Ni mhuni tu, anayetumia pesa kutafuta soko la bidhaa yake.

Possibility kubwa ya kwenda Kenya, ni kwasababu ndio watumaji wakubwa wa remmitance.

UKweli ndio huo hata kama hasemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…