Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No troops from Mozambique, Angola, Ethiopia, Zambia. No support from UK/USA. In case hujui, in 1965 all diplomatic relations with Britain were severed by Tanzania, and re-established in July 1968, just a year before the war.
 
Uchumi mkubwa njaa kila kona, funza, slum, ukabila, umimi, kubaguana
Sasa hawa wangeweza kulipa nauli za dar -arusha kwa 80,000tsh= 4000ksh
Au Ile ya dar = mwanza 170,000=8500 Tena bus tuu

Hata hizo nauli za ndege wakisema wacopy nauli za bongo tu kama zile za Dom za bei ya chini 270,000 mashirika yote yatafunga
 
Provide us with evidence.
 
Historia za babu zenu ni kuwaibia ardhi kujilimbikizia mali kwa hiyo hana jipya aliloliganya na hana mchango wowote katika bara la Africa kwa hiyo hawezi kuwekwa kwenye radio station au tv stations akihutubia nyie bakieni tu na ukabilawenu ndiyo kitu mnachoweza
 
So you agree Palestine supported Amin now? Sasa hiyo kupinga mlikuwa mnapinga ilikuwa ya nini? Alafu bado mjinga mwengine babayao255 ananiambia eti mbilikimo amenishinda uwezo wa kufikiria wakati nawapa somo la historia sasa hivi. Najua wengi wenu hata hamkujua Palestine ilisupport Idd Amin. Hakuna historia mnayoijua nyie.
CC. buffalo44
 
Palestine and Libya suppported Iddi Amin.

We caught their soldiers and sent them back.

 
Not only defeated your miserable army, finally Amin fled through Arua en route to a misarble final life in UAE, Tanzania also installed your regimes from Yusuf Lure, Binaisa, Obote and finally M7
Whom are you referring to here by saying "your"?

You already admitted that your army was helped by what you called "collaborators" from the West and East. Why then are you taking credit for what you don't deserve?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ