Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you completely got me out of context. I am not worried about my Africanism but what I meant is first obligation should be to your home country and that should be your dream.
 
If I were your father you would have ended up in the drainage system before you see the light.
That’s called infanticide or murder. You disappoint me if that’s how you treat those with a different opinion. Don’t turn me into ur huckleberry. I surely hope you don’t feel the same about Albinos in your country. Peace be upon you my African brother 😜😁
 
We need to appreciate diversity in life that's the best gift nature could give us wasitake watu tuwe na mtazamo mmoja tuu sio healthy.
100%

Binafsi siyo kwamba naunga mkono kila kitu cha Mwanasiasa.

Ila bila checks and balances tutapotea kabisa.

TZ hatuna vikundi vya kupigana msituni, kwasababu watu wanao uwanja wa mapigano, mikutano ya kisiasa. Na wanaotafuta haki wakionewa wataenda mahakamani.

Sehemu kama bunge ndio kilele cha wanasiasa wapiga kelele.

Ni ngumu kuziba kila kona watu wasipumue.

Yaani bungeni, mikutano ya mitaani, mahakamani kote unaziba.

Unataka watu wafanye nini, zaidi ya kutaka kuharibu nchi tu?

TZ tumezungukwa na makundi ya wahuni kila kona, bila umoja tutapigika vibaya sana.

Hiki kiburi tulicho nacho, ni kwasababu tuko wamoja siyo kwasababu kuna JWTZ, TISS na POLISI.
 
TZ tunajenga viwanja viwili kwa pamoja
  • Arusha
  • Dodoma

Bado tuna viwanja CAF standards kama Mkapa Stadium

Ila tuko kawaida tu.

Kenya hiyo Kasarani imepigiwa kelele, hatulali na uwanja haujaisha.

Mpaka unaambiwa Ruto ni Kumi bila brake kwasababu ya huo uwanja mmoja.
 
Wazee wa GDP.

Mmerudi tena kwenye GDP
 
you completely got me out of context. I am not worried about my Africanism but what I meant is first obligation should be to your home country and that should be your dream.
Am I not allowed to have 2 dreams at the same time?… what’s the dream quota?. Tell me more …
 
Hivi mmeshanunua dawa za TB?
Maana TZ hatutawagaia dawa safari hii aisee.
 
Hivi mmeshanunua dawa za TB?
Maana TZ hatutawagaia dawa safari hii aisee.
Wenzao kila wakifikiria kuhusu budget yao hawaelewi.

Budget kubwa lakini hawajui inachofanya.

C&P

=========

The 2025/26 budget allocations in East Africa

√ Kenya: Sh4.3 trillion
√ Tanzania: Sh2.8 trillion
√ Uganda: Sh2.6 trillion
√ Ethiopia: Sh2 trillion
√ Rwanda: Sh645 billion
√ Burundi: Sh245 billion

It does not make sense for Kenya's budget to bigger than Tanzania when TZ has a higher Land Area, People live everywhere, higher Population, more Roads to maintain, more hospitals, more Projects done from the exchequer.

Unless somebody explains to me!
Kenya has the highest Public Debt in the region.
If you look at the TOTAL Projects in Tanzania and Kenya in the last 23 years, there is no comparison with Tanzania.
Tanzania is far ahead.

But in that period, Kenya's Debt grew to double Tanzanias.

So are we more productive than Tanzania?
Or we are simply living on Debt? Which is Fools Paradise?
Today, Loan repayment is given as the excuse.
Kenya has consistently been having a higher budget compared to Tanzania.
But it started ballooning from Kibaki times.
We never finance Projects from the Exchequer.
 
Per capita income isn't a realistic mode of measuring the territory wellbeing, I argue you to observe this scenario of a certain interior village in a remote region of Tanzania, just assess provision of basic necessities like clean water, electricity, housing, economic activities, schools, faith infrastructures etc, of course due to their small population in comparison to their area they will fall under a sorry state by using per capita income perimeters but in reality they have better life way suitable compared to your top tier caunties on per capita.


View: https://vm.tiktok.com/ZMSXS6Wnh/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Kenya's infrastructure was completed almost a year ago. Guess nani walikua wamedelay the project, the same people train yao ilikwama juzi due to transmission issues.


View: https://x.com/KETRACO1/status/1823708712814682371
Huo ndio umeme wa kupigizana nao kelele!??
We kweli umedata.
Grid ya taifa ilipata shida ndio maana kulikatwa umeme kote kwa muda wa masaa kadhaa na umeme ukarejea.
Tanzania hatuna shida ya umeme .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…