chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Waganda wamewapita wakundustan kwa kua na stadiums nje ya capital, ninyi nje ya naislum mna maziziUnaijua Nakivubo Stadium kweli, nje ya Mkapa hakuna stadium Tz looks better than Nakivubo.., Tanzania stadium ni moja, zingine ni level ya vibanda..., Uganda has this 👇 Nakivubo and Mandela both are classy.., wachana na hizo taka taka zenu mnaweka canopy kuficha sura mbaya😂😂
View attachment 3377743
View attachment 3377744
View attachment 3377745
View attachment 3377746
Slaves hotbed, hiyo GDP haiwezi kuwaokoa na utumwaThis place is wealthier than all Cities in Tanzania put together, GDP ya Nairobi alone is bigger than GDP of the top 20 urban centers in Tanzania.
Yaani he is just a mere 'pawn' in the music industry 'chase board'.., anatumika anyhowly kama tissue paper 😂😂😂😂As a curtain raiser among superstars …call me when he comes to America as the main act ( Nigerians like Burna Boy have ) . Americans will be there to see Gunna and Glorilla .😄😄
You are reasoning like a class 2 dropout. Ingekuwa GDP inafanya watu wasitoke nje ya nchi Yao then Wachina hawangekuwa wanakuja kuuza mitumba Tanzania.Slaves hotbed, hiyo GDP haiwezi kuwaokoa na utumwa View attachment 3377775
Tanzania stadium ni moja, kama vile jiji ni moja., tambua hilo, let that fact sink, mengine ni playing surface tu na mabanda yamefunikwa kwa canopy.,Waganda wamewapita wakundustan kwa kua na stadiums nje ya capital, ninyi nje ya naislum mna mazizi
Kwani ni uongo? Ukitoa SGR I promise you that Isiolo and Dodoma will be on the same pool fighting.Govi linakufanya unakuwa na uwezo mdogo sana wa kujenga hoja.
Ebu tuonyeshe 3 meaningful stadiums outside Dar is slum. For us we can show you 10 outside Nairobi.Waganda wamewapita wakundustan kwa kua na stadiums nje ya capital, ninyi nje ya naislum mna mazizi
Can you compare yourself na yeye kweli😆😆😆🤣🤣., wewe ni baadhi ya machinga Dar., hawker wa phones accessories 🤣🤣🤣🤣., jiangalie bwana🤣🤣🤣🤣., weka picha yako kando ya hii., utaona sura ya ufukara ilivyo.., 🤣Anaeongea takataka hizi ni huyu jameni 👇🏾🤣🤣🤣View attachment 3377006kwahiyo wala asiwaumize kichwa, he doesn’t look normal.
Sasa who owns Masaki in Dar or Mikocheni?.. idiot🤣🤣🤣🤣..,Kunyans keeps swinging here and there.
Tanzanians don't worship lrivaye estates.
Then who owns Runda estate?
Sio hata comparison, ni far better than him. Unaelewa nikisema Far better what I mean.?Can you compare yourself na yeye kweli😆😆😆🤣🤣., wewe ni baadhi ya machinga Dar., hawker wa phones accessories 🤣🤣🤣🤣., jiangalie bwana🤣🤣🤣🤣., weka picha yako kando ya hii., utaona sura ya ufukara ilivyo.., 🤣
They are owned by Tanzanians.Sasa who owns Masaki in Dar or Mikocheni?.. idiot🤣🤣🤣🤣..,
Wachina hawauzwi as slaves anywhere, kwanini mnapenda kishift topic kizombi namna hii?You are reasoning like a class 2 dropout. Ingekuwa GDP inafanya watu wasitoke nje ya nchi Yao then Wachina hawangekuwa wanakuja kuuza mitumba Tanzania.
Si ulisema tuko na GDP kubwa yet wakenya wanaenda kutafuta KAZI nje ya nchi, sasa nikileta mambo ya China inaanza kulalamika.Wachina hawauzwi as slaves anywhere, kwanini mnapenda kishift topic kizombi namna hii?
Kwa hivo miradi yote tuliyoifanya mmetupangia nyie?Tatizo letu Tz ni usimamizi, na hii ni kutokana na kuwa na baadhi ya viongozi vilaza wenye mamlaka.
Ila Tz tuna watu wenyeuwezo mkubwa sana wa kupanga na kuanzisha mikakati kuliko nyinyi, na hii iko reflected kwenye miradi tulioianzisha chini ya Magufuli, Kenya bado hamna uwezo huo.
How fast you shift goal posts.You must be living under the rock. The grid system is an outdated urban planning concept that originated in the United States, initially designed to accommodate tram networks.
Huwezi kuwa na Barabara zimenyooka hivyo bila kuwa planned. Sana sana hapo nachoona ni tatizo la kutosimamia zoning. FYI, huo mji ilikuwa planned na wajerumani.