Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wewe unasherehekea pesa za Muhindi wakati unaishi Uswazi Tandale? Alafu wewe mwenyewe umeskika ukitamba humu eti una umri mkubwa. Enyewe mwafrika anahitaji ukombozi. 🤣 🤣 🤣
Unfortunately, Kenyan wealthy hide their assets for various reasons ( including how it was acquired) but I guarantee you there is at least 2-3 dollar billionaires in Kenya .
 
So sasa opening game ni high profile , what changed your mind about finals …( what stage of mourning is this?)..🤣🤣🤣🤣
 
So sasa opening game ni high profile , what changed your mind about finals …( what stage of mourning is this?)..🤣🤣🤣🤣
Final mmepewa ili msikose kila kitu.

Mmepewa kwa aibu tu.

Na kibaya zaidi game itakuwa very boring, maana kwanza Harambee haitacheza fainal.

Possibly, uwanja utakuwa empty, full of embarrasment.

CAF wangekaza msingepata Game hata moja,

So wameona Pamoja Bid at least mpate kitu.

 
Unfortunately, Kenyan wealthy hide their assets for various reasons ( including how it was acquired) but I guarantee you there is at least 2-3 dollar billionaires in Kenya .
Yeah. Because they know we won't be celebrating their ill-gotten wealth online like Bongolalas. You see they're saying he invests in their country yet they don't even realize his political connections and unfair advantage made him a billionaire. Btw, he is a politician. He served as an MP sometimes back then became a billionaire and left.
 
Acceptance stage.
 
Kweli ww ni kiazi mtu mali zake zipo Tanzania na ameajili watanzania sasa unakasilika nn son hata mm njoo nikuajili wala usikonde uta enepa sana
Yani wewe unasherehekea pesa za Muhindi wakati unaishi Uswazi Tandale? Alafu wewe mwenyewe umeskika ukitamba humu eti una umri mkubwa. Enyewe mwafrika anahitaji ukombozi. 🤣 🤣 🤣
 
Anaeongea takataka hizi ni huyu jameni 👇🏾🤣🤣🤣kwahiyo wala asiwaumize kichwa, he doesn’t look normal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…