NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,205
Mgonjwa matapiko.Nyang'au kipchirchir arap Teargass atakuambia daraja refu Africa mashariki lipo Kenya ha ha ha😂
Mgonjwa matapiko.Nyang'au kipchirchir arap Teargass atakuambia daraja refu Africa mashariki lipo Kenya ha ha ha😂
Mmeona hiyo inayoitwa city kwanza?
Tuje kwenye barabara yenyewe, ushamba wa traffic light unahitaji a whole week to discuss
Kigoma ina traffic lights zaidi ya 15 imagine na ni mwisho wa Tanzania 🚥😅
View: https://youtu.be/N_0J_Uru0Bw?si=1DZAG2qMLo9bJj4_
I didn’t know mama was a “he”. Kwani kuna secrets hatujui under the bui bui ?..😁🤪🤣He won't do anything because he knows its just zero wishes for few individuals.
Wewe hata uniiteje habari ndio hio. Daraja la JPM😁😁😎Mgonjwa matapiko.
Tangu Uhuru na kabla wewe hujazaliwa hadithi ndio hiyohiyo hakuna jipya TZ iko strongly united we nyangau.I predicted this last year … mambo bado ! 😃😃
Please take it easy on him…I found out he was my Dad’s college mate 😁😃Mgonjwa matapiko.
Ndio hizo zita tumika kulepua Dodoma ibaki kua wasteland na vumbi capital ,so jitayarishe kua refugee bro😂😂😂Zile walizokuja kudump hapo kenya kama malipo ya ndugu zenu kuchinjwa na al shabab?
For real? 🤣 🤣 🤣 Anafanya nini hapa?🤣🤣Please take it easy on him…I found out he was my Dad’s college mate 😁😃
Mtu ako 70 years bado anafunza watoto wa chekechea?🤣🤣Umemaliza kufundisha watoto wa Chekechea ABCD?
Hii architecture unaweza ipata ******** shitty kweli?🤣🤣Konza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa unachonibishia mimi ni nini? These cobras were in active service in the royal Jordanian army then sold to kenya with US approval. Sasa nikisema old ex jordanian army choppers kosa liko wapi. by the way mmeshazoea mizoga ya military aircrafts.Your understanding of military sales is limited. Let me educate you . Any USA made weaponry cannot be transferred to a third party without the US approval hence Kenya requested the US first and Jordan was given an ok to transfer the aircrafts but not before they were given tech update by USAF engineers . So they are lethal and the top guns in the region. Now you know.
Kinachokusumbua wewe ni ujinga. Unajiita upo USA hujui hata United Nations. Huko USA Carlifonia na Texas kila kukicha wanataka kujiondoa. Tuambie walikatazwa kuongea? Je,walishatoka na kuwa nchi huru?This the ample opportunity since the Muungano President is a Zanzibari and she would hesitate to use too much or deadly force on her own people ….
Mmejitahidi lakini problem iko kwenye ku maintain standard hapo ndio mnaposhindwa tuu.Hii architecture unaweza ipata ******** shitty kweli?🤣🤣
Tushafunika running track, we are almost ready for CHAN.
View: https://x.com/KasaraniStadium/status/1935688205044740424
Sawa.Mmejitahidi lakini problem iko kwenye ku maintain standard hapo ndio mnaposhindwa tuu.