Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimewapanga vilivyo sa ni povu na kilio tu...mukiweka ujinga hata mimi naweka, mukitokwa povu Mimi nacheka hadi mpate akili.
 
Einstein, hapana amsha waliolala ama ulale wewe mwenyewe.
acha niwaamshe maana nimeona unachukua point za bure kwa kukuita hacker[emoji23] [emoji23] [emoji23]

hiyo mbinu kuna wakati nilimsumbua nayo sana collo na baadhi ya wakenya wengine vilaza.

wenyewe wakadai ati it was easy for me get get access of their post b'se i was a moderator of jf....nilikuwa nacheka sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amka kumekucha mshamba.
 
Amka kumekucha mshamba.
Kubishana na wewe ni kujichosha eeehh m mshamba umefurahi???hahahahaha jinga hilii
Nimefurahi sanaa mshamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…