Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekuwa ni exports kwa 12 bil usd ni sawa na 240bil , lazima ingekuwa kwenye top 5 exports bhata zaidi hata ya tourism ambayo Iko kwenye 3usd bil, basi total exports zenu zingekuwa kwenye 30usd bil 🤣🤣🤣🤣
 
Ingekuwa ni exports kwa 12 bil usd ni sawa na 240bil , lazima ingekuwa kwenye top 5 exports bhata zaidi hata ya tourism ambayo Iko kwenye 3usd bil, basi total exports zenu zingekuwa kwenye 30usd bil 🤣🤣🤣🤣
Kwanza 12 billion USD sio sawa na 240 ksh billion, anyway focus hio 12 billion ni remittance ya Philippines, ya Kenya ni 4.8 billion USD equivalent to 619 billion. Na haiko hapo kwasababu hio ni top 5 exports for goods only. Huitaji akili ya shule kujua hivyo.
 
Remittances are taxed ama unadhani kupokea pesa ni bure? Do tourists pay corporate tax when they visit your country? Usiwe mjinga bana.
Earning za tourist activities ambazo mahotel, tourist companies zinapokea ndo zinazopelekea kupatikana kwa taxes ambazo hulipwa kwa serikali .mfano all hotels in Kenya usually file corporate taxes, pia kuna hotel levy , mtalii hawez Kodi ila aliyempa huduma ndo atalipa Kodi baada ya kumhudumia. Sasa Leo wafanyakazi wenu walioko nje hizo huduma wanazotoa ,labda letsay kuosha vyombo ni wapi tunaweza track vyombo walivyooosha ili tupigue hesabu ya mapato ili walipe Kodi?
Anyway kama kuna letsay salary slip zao ni wapi inaonesha wamekatwa remittances kama mchango wa Kodi kuja kenya
 
Sababu earning ya tourism kwa Kenya ya 3usd bil Ina include pia domestic tourism ukiweza kuleta figure ya domestic na foreign tourism earning ntakupa sababu why is it not included
Kwa hio 3billion USD unadhani local tourism ndio ilichangia pesa nyingi that's why foreign tourism can not make it to your imaginary list ya services?
 
Nimetafuta hiyo 4.8 bil usd ambayo imeingia kwa uchumi wa Kenya kwenye hiyo article yako sijaona na hata hiyo 12 ni wewe uliyeiweka.
Hakuna remittances ya 4.8 bil buana acha kujifurahisha ,
 
Kwa hio 3billion USD unadhani local tourism ndio ilichangia pesa nyingi that's why foreign tourism can not make it to your imaginary list ya services?
Leta mchanganuo hapa sio maneno si mna data zenu kutokea ministry of tourism and sport
 
So people who receive remittances from abroad enjoy their money tax free because they are not tourists. 🤣🤣 Ona vile unakaa mjinga sasa.
 
Leta mchanganuo hapa sio maneno si mna data zenu kutokea ministry of tourism and sport
Si umesema hio data ina include services na nikikuambia ni ya goods only unapinga. Haya ebu tuambie mbona pesa ya foreign tourism haiko hapo ju unajua sana. 🤣🤣🤣
 
We ndo mjinga zawadi haiwezi hesabika kama ni mauzo au mapato remittances ni zawadi we mbwa.
Shule zenu Zina mushkeli🤣🤣🤣🤣
Ju wanapokea pesa ambayo hawatatumia hapa Kenya ama? Ona vile unakaa mjinga tena Kwa mara ya pili. 🤣🤣🤣
 
Yaan akili yako Kumbe ukimtumia mamako pesa kutokea Dubai umexport service🤣🤣🤣🤣
Exports inachangia kwa foreign exchange, hizo remittance pia zinafanya the same thing, au unadhani ule Benji Fernandez wa Nala anafanya biashara ya kuuza madafu. Sasa ona vile uko mjinga Kwa mara ya tatu. 🤣🤣🤣
 
Si umesema hio data ina include services na nikikuambia ni ya goods only unapinga. Haya ebu tuambie mbona pesa ya foreign tourism haiko hapo ju unajua sana. 🤣🤣🤣
Kwanza kajifunze ili kuite service exports inatakiwa iwe na sifa gani ndo turudi hakuna unachojua.
Service exports are characterized by their intangible nature, variability, inseparability, and perishability, often requiring close interaction between the service provider and the consumer. Unlike goods, services are typically produced and consumed simultaneously, and they can be difficult to standardize or store. Furthermore, service exports can be crucial for supporting goods exports, with activities like banking and transportation playing vital roles.

Here's a more detailed breakdown:
1. Intangibility: Services are performances rather than physical objects, making them intangible and difficult to evaluate before purchase. This can make it challenging to market and sell services internationally.

2. Heterogeneity/Variability: Service quality can vary significantly depending on the provider, location, and even the customer. This variability makes it difficult to ensure consistent service quality across different locations.

3. Inseparability: Production and consumption of services often occur simultaneously. This means the customer is often involved in the service delivery process, requiring interaction between the service provider and the customer.

4. Perishability: Unsold services cannot be stored for later use. This means that service providers must carefully manage their capacity to meet demand, as any unused capacity is lost.

5. Support for Goods Exports: Service exports, such as transportation, logistics, insurance, and financial services, are often essential for facilitating the export of goods.

6. Varying Modes of Delivery: Services can be delivered through various modes, including physical presence (e.g., a consultant traveling to a client's location) or remotely (e.g., online consulting).

7. Complexity: Some services are complex and require specialized knowledge and skills, making them more challenging to export. This complexity can also lead to higher transaction costs for both the provider and the customer.

8. Documentation and Compliance: Exporting services often requires specific documentation and compliance with international regulations, similar to exporting goods.

9. Complementary Nature: Service exports can be complementary to goods exports, with companies providing services to support their goods exports or vice versa.

10. Enterprise Characteristics: The size, industry, and other characteristics of the service provider can influence their ability to export services.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…