Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya.exports
This growth was largely driven by a 77.3% increase in re-exports, including kerosene-type jet fuel to neighbouring countries. The EAC remains the primary destination for these exports, with intra-EAC trade steadily growing and contributing significantly to Kenya’s export earnings.
 
Yote hayo ya Nini mkuu, only a vibrant manufacturing industry yote hayo yanakuja yenyewe.
Serikali ikiwa serious kwenye uwekezaji kwenye viwanda mji utawaka tu tena it will be sustainable.
Kuna kitu Hawa viongozi wetu sidhani kama wanaelewa,
Huwezi endesha uchumi wa watu Milioni 70+ without a sustaining manufacturing industry.
Tutazidi Kuona more and more bajaji + Bodaboda plagues kwenye miji yetu and that's not a surprise, we don't have a Manufacturing industry ku absorb vijana wengi ambao wengi wanatemwa na vyuo Kila mwaka na hakuna kwa kwenda.
 
 
Taarifaa ipo kwa website ya bank of tanzania
🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan pamoja na kuwa na gdp kubwa export ni nusu ya tanzania
 
Manufacturing base ya Tanzania ni pwani na dar es salaam kwa sababu kubwa ya uwepo wa bomba la gas kwa karibu

Dodoma kuwa zone ya manufcturing inawezekana lakini sioni kama kuna upcoming projects

Na wakati tunawaza manufacturing lazima tuwaze na tech , it and ai Tz tuko nyuma kwa hilo
 
Manufcutred goods exported by Tz ni 1.3bil usd last year while kenya 900million kama vipi leta data za CBK
 
Sipingani na uwepo wa startups, ila lazima kama nchi iwe na vipaumbele.

Ni aibu, Africa kuendelea kuwa source ya malighafi


View: https://x.com/diversity2028/status/1932706927613784329/video/1
sasa mali ghafi zinawezaje kulindwa na kuwa managed vizuri bila ya management systems za maana? Unajuaje content ya huwa mchanga na thamani yake alisi bila analytical softwares? Funga mdomo na ficha upumbavu au unafikiri kila kitu ulinzi wa bunduki? Unajua vitu vinaitwa spyware? Au unafikiri unapopita airport au bandarini na mzigo kuwa scanned imewezekana vp? Watu wa tech industry wametengeneza detection programs/softwares! Sasa hivi drones zinakuwa operated 1000 miles away na kuwa na precisions on target! How about guided missiles? unafikiri inawezekanaje? Ficha upumbavu! Kuna vitu hujui then kuwa mpole! BTW wacha kuni-quote kma unaendelea kubisha juu ya umuhimu wa soft tech!
 
Siku hizi hatupo kizembe( Either Tanzania / SA) SADC forever 😎siku hizi shelves za TZ supermarket ukitoa Blueband Mkundustan hana lake 😂
Kwenye Maziwa first Choice na Clover anapelekeshwa na Asas, Kilimanjaro, Tanga Fresh, Shafa , Dar fresh etc kwa ukanda wa Dar. Kule Arusha pia kuna wakali wengine.







 
Aisee, naona uelewa unakuwa mgumu sana.

Kwahiyo tuanzishe tech cities ili tupate technology ya spyware, scanning na programs.

Tukinde raslimali kwa tech kutoka tech cities?

Nchi gani ya Africa imefanikiwa kwenye hilo?
 
Kwanza hizi details zako ni za uongo by the year 2023/2023 hamkuwahi fikisha export of goods za 8.24bil usd bali ilikuwa ni 7.96bil usd na Tanzania export 7.86 usd
That's data for both goods and services. We were discussing about goods and manufactured goods to be precise, lakini kama kawaida yako kurukia vitu bila kuelewa. Tuliza kiherehere oyaaaa.
Aah Kumbe nyinyi uchumi wenu mnaojitambiaga kuwa ni service deliver bado mnapigwa na Tanzania kwenye service delivery, kwahiyo baadabya re exports za kerosene kipi mnacho export.
Mimi nilikuwekea na za service ili utueweke tota exports zenu🤣🤣🤣
 
Manufcutred goods exported by Tz ni 1.3bil usd last year while kenya 900million kama vipi leta data za CBK
The same data inasema manufactured goods was higher than traditional goods. Unadhani sisi ni mafala. 🤣🤣🤣
 
I have quoted data from the same web source na yenye ulileta, sasa sahii tena imegeuka za uongo after umeona we exported more goods than bongoslum yet hatuna abundant minerals. 🤣🤣
 
Hakuna mtu anapinga technology wala mazingira mazuri ya startups.

Mimi napinga tech cities kama ilivyo Kenya, Konza Techopolis na Tatu city.
na wakipewa mazingira mazuri wakina google watakuja au tutaanzisha google yetu!
Google wako Kenya, Kenya imeshaanzisha hiyo Google yao??

Global tech companies hazifanyi hivyo kazi.

Google haipo China, China alianzisha Baidu.
Hicho ndio kitu usichoona! Talent is there n needs nourishment! Plse acha upumbavu na shallowness!
SIo kwamba mimi siwezi kutukana hapa.
 
kwahiyo inakatazwa ndege zetu kukodishwa?
Hawa ni wanajeshi wa SA? Ilikuwaje wakatumia ndege yetu?
August 1998 wakati wa jaribio la kumpindua Laurent Kabila (Vikosi vya Rwanda na Uganda) limefikia hatua za mwisho kungia Kinshasa, Wanajeshi wa Tanzania amabao walikuwa na kandarasi ya kutrain Congolese army na presidential security wakawa wako stranded na kama nchi tulikuwa hatuna uwezo wa kuwa-evacuate kwa wakati sahihi. Hivyo Mkapa alimpigia Thabo Mbeki na kumuomba msaada huo na through SANDF Vikosi vya Tanzania vilikuwa airlifted kwa wakati.

I believe that was a token of appreciation.
 
Manufcutred goods exported by Tz ni 1.3bil usd last year while kenya 900million kama vipi leta data za CBK
Kwanza tumsaidie
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…