Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado ni ndogo. Construction ilianza Two years ahead of Uhuru II lakini Uhuru II being bigger than it is already operational.
Do you really understand English? eti uhuru II is bigger 🤣🤣🤣🤣kubeba more cargo weight does not make it bigger hiyo ndio kazi ya guta but, ours ina configuration tatu, Passengers, cargo and roro services and it is bigger than yours.

Compare and contrast Mbingu na Ardhi🤣🤣🤣🤣
 
Imagine ndo miji yenye idadi kubwa ya abiria kuliko mjii wowote Kenya huwa najiuliza ikifika hata huko malaba itakuwa treni moja inaendana na mabehewa 3 yasiyojaa
Between Mombasa and Nairobi is a low populated region. Kenya's population is concentrated in central and western region. ATrain to western Kenya will have more passengers than to Mombasa.
 
Between Mombasa and Nairobi is a low populated region. Kenya's population is concentrated in central and western region. ATrain to western Kenya will have more passengers than to Mombasa.
mbona flights kutoka Nairobi kwenda Kisumu hazisemi hivyo? Mnapeleka embraer badala ya bigger jets! endelea kujidanganya!
 
mwambie alete total space volume ya hilo guta lao! wapumbavu sana hawa jamaa!
 
Between Mombasa and Nairobi is a low populated region. Kenya's population is concentrated in central and western region. ATrain to western Kenya will have more passengers than to Mombasa.
Sawa inwezekana ni highly populated lakini hakuna wasafiri wengi, mfano hata ukiangalia flights za kutoka Nairobi - Mombasa ni nyingi sana ukilinganisha sehemu yoyote kwa kenya. Tukienda kwenye bus companies, hivi kuna magari mangapi yanaenda kisumu,kakamenga, nyeri kutokea kwenye mjii wa kibiashara ?
 
Huyo mpumbavu muwe mnamuacha ajiliwaze cz hyo battle ya which is bigger than which ilishamalizwa kwa macho, hata wanusa gundi wenzie huwa hawamuungi mkono.
 
Shida yenu mnajifanya mnaijua Kenya kutushinda na hata Kenya yenyewe hamjawai kukanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…