What’s their population? Why are you just throwing words around you Mr. Quack?Lindi iko kusini mwa Tanzania na Tanga mashariki kaskazini mwa Tanzania.
Sio hapo tu,nenda Mkoa wa Pwani ukanda wa Bagamoyo pia.
We ni msenge umetaka utajiwe wanapatikana wapi wewe unataka idadi??What’s their population? Why are you just throwing words around you Mr. Quack?
hii Ukunduni ni hoteli! Maana hamna ofisi au taasisi ya serikali inakaa hivi! Abishe Mkunduni yeyote hapa! CC: Teargass, NairobiWalker, nairobae, Nicxie, mwathadan n IamLeeMaji house. Daisaama. 👇🏾View attachment 3364301
Unapenda kujifariji sana Methuselah. Si ingeanza na kujenga za Dar muondoe uswazi zenu
View: https://x.com/BamburiCement/status/1932367370624094447
Babmburi cement ya Mtazania ikijenga affordable housing Ukunduni!
He is a British.Mtanzania will tell you that Jonathan Jackson the owner of 88 Nairobi Condominium is not a Kenyan lakini Mo Dweji and Rostam are Tanzanians. Jonathan was born in Eldoret, Studied in Kenya and still does everything in Kenya. So kwao Jonathan sio Mkenya lakini Mo Dweji is a Tanzanian😂😂
View: https://youtu.be/elrG9geIk_Y?si=1N3Gqi_dpUxb83ZV
Both Mo n Rostam are the 5th to 6th Generation of their familiy trees that where born in Tanzania! Huwezi ku-compare na mtu wa 1970s! Wacha upumbavu!
💯Both Mo n Rostam are the 5th to 6th Generation of their familiy trees that where born in Tanzania! Huwezi ku-compare na mtu wa 1970s! Wacha upumbavu!
Sasa ijenge Dar kwani hatuna cement plants? FYI hata Talanta stadium ni cement ya Bamburi that means for each Ksh Amsons group has a cut!Unapenda kujifariji sana Methuselah. Si ingeanza na kujenga za Dar muondoe uswazi zenu
Yes, population is very important. Saa hii ukiniuliza population ya Somali ethnic group in Kenya I will tell you. Sio hizo zenu za kupachika pachinko Alafu unataka tuwaamini.We ni msenge umetaka utajiwe wanapatikana wapi wewe unataka idadi??
Tanzania huwa tunafanya sensa ya nchi sio ya kikabila.
Na WASHIHIRI ni miongoni mwa wananchi.
Mtanzania ama Mwarabu?
View: https://x.com/MaudhuiHouse/status/1932728266508677153
View: https://x.com/MaudhuiHouse/status/1932728270862364811
View: https://x.com/MaudhuiHouse/status/1932728276902170831
MY TAKE
Bamburi cement ya Mtanzania ikijenga affordable housing Ukunduni! Huku ikiwa ready ku-supply cement SGR Naivasha-Malaba!
So Do Mo Dweji and Rostam. They are Indians and Iranian respectively.
Ila si ni kweli mnamilikiwa na foreigners, wazungu wanamiliki mashamba yenu makubwa yenye rutuba huku wakilima chai!Tulianza kumsema Rostam juu ya tabia yenu ya kusema Kila mara tunamilikiwa na foreigners. Wacha unafiki. Mnamchukia Teargass kwa sababu anatumianga logic yenu kuwapiga vibare.