concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,485
Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .Geza is it interesting vile huwa mnasema uchumi wa Kenya umeshikiliwa na Wazungu yet hao hao Wazungu wakiwekeza Vumbistan mnacelebrate?
Baada ya kukamilisha JNHPP sio? Natumai hiyo budget ina-cover fedha za connection to the main grid!Teargass NairobiWalker nairobae Budget ya wizara ya Nishati, pesa ya maendeleo TSh 2,167,513,219,000 = $815.30 million USD
View attachment 3360352
Nahisi malipo ya mkandarasi wa Nyerere bado yamoBaada ya kukamilisha JNHPP sio? Natumai hiyo budget ina-cover fedha za connection to the main grid!
Aawapi Tanga the host of the longest n most modern heated pipeline in the World!Lodwar is better than Tanga.
But MPesa is 100% owned by Safaricom. So what’s your point?Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
Naona kama budget ndogo ila ngoja tuone maana kuna suala la LNG Terminal naona limesahaulika!Nahisi malipo ya mkandarasi wa Nyerere bado yamo
Does that make Tanga any better? Lodwar is also home to Oil fields. Do you such in Tanga?Aawapi Tanga the host of the largest crude oil terminal in East and central Africa! Aside the just launched LPG Terminal for ASAS! Kule Lodwar najua wana-host njaa tu!
Hapana mkandarasi SI analipwa kwa awamu , inategemeana na mkataba unasemaje kuhusu malipo, pia kwenye stage ya malipo Kuna amount inashikiliwa pale itapotokes ujenzi haujakaa sawa na Kuna marekebisho yatahitaji fanyika.Naona kama budget ndogo ngoja tuone!
BTW serikali ya CCM ilileta figisu maana katika pilot project Tanzania ilikuwapo pia!Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
Kenya siyo wamiliki wa vitu.Kuna utofauti sana. investor akija wekeza hatujitambii kwamba n kampuni ya tanzania na kuanza kufanya showoff kwa wengine , sisi tunabaki nalo moyoni kama fursa ya ajira, ila huyo investor akiingia Kenya Huwa mnataka mpaka kuanzisha bullying kwa wengine .
Mfano origin ya mpesa haikuwa Kenya na aliyeanzisha idea iliyopelekea kuanzishwa kwa mpesa (nick Hughes) hakuwa mkenya na wala initial developer ( sagentia) SI ya kikenya bali Kenya ilikuwa kama pilot study tu ila sasa mnavyojifisiaga
Is it for business (income generation)or mere social amenity?.., kwa mfano ni kama kuweka mifereji mitaani and ensuring a clean environment with security., wewe ni kilaza kweli., haujui maana ya neno "white elephant" reason unaitumia out of context., tafuta elimu, semi-illiterate🤣🤣Hizo housing kwa uchumi gani wa ku sustain hizo housing projects? ajira zime stagnate, exports haziongezeki mwaka wa kuni sasa huu, government fiscal space ime diminish, ballooning imports, currency devaluation on the horizon. Those are white elephant unaffordable projects
Lodwar size yake ni kibondo tu maana mapato Yake ya county hayafikii hata kibondoAawapi Tanga the host of the longest n most modern heated pipeline in the World!
Aside thelargest crude oil terminal in East and central Africa! Aside the just launched LPG Terminal for ASAS!
Boy Tanga is not ur type Tanga should in the conversation in the league of Mombasa! Kule Lodwar najua wana-host njaa tu! Wana nn zaidi ya njaa?
JNHPP mkandarasi anadai kidogo.Baada ya kukamilisha JNHPP sio? Natumai hiyo budget ina-cover fedha za connection to the main grid!
Miradi ya Kasongo unashangilia humu ndani! Hebu tupishe huko!Is it for business (income generation)or mere social amenity?.., kwa mfano ni kama kuweka mifereji mitaani and ensuring a clean environment with security., wewe ni kilaza kweli., haujui maana ya neno "white elephant" reason unaitumia out of context., tafuta elimu, semi-illiterate🤣🤣
Hivi REA ipo chini ya Wizara ipi?JNHPP mkandarasi anadai kidogo.
Ila TANESCO bado wa miradi mingi sana ya GRID imara.
White elephantKenya siyo wamiliki wa vitu.
Hawajui kadha hiyo. Ndio maana hata leo wanajivunia Eistleigh iliyojenhwa na Somalis.
Wanajivunia private estates kama Tatu City ambazo ni gated communities zenye taratibu zao.
AI OverviewKingereza kimekupiga chenga. It’s the owner of the mall that is providing logistic services and not the mall.
Baada ya kukamilisha JNHPP sio? Natumai hiyo budget ina-cover fedha za connection to the main grid!
Nishati.Hivi REA ipo chini ya Wizara ipi?