Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bitter truth!
 
Kwanza ninakushukuru kwa kukubali kwamba hamna na wala haitowezeka kupata BRT ndani ya miaka 50 ijayo, mtaendelea kupanda matatu zimejaa kunguni. Sasa high way bila vyombo vizuri vya public transport inasaidia nini?
Unaskia mnakunya hata ndani ya BRT na pia kwenye stendi. Na kuwadunga kina dada sehemu zao za nyuma kwa vidude vyenu yani BRT ni porn bus.
 
Huu ni upuzi mtupu wa LDC nations. Njoo Kenya ujione mshamba.
Sindano imekuingia pole sana, jiji la Dar limepata World recognition twice because of BRT, nchi nane ikiwemo nchi yenye njaa kuliko zote katika ukanda huu inayoitwa Kunya, imetuma team za watu kuja kujifunza[emoji1] [emoji1]
 
Britam Tower - Kenya
Number of floors 32
if mixed use each floor 3.5M
Total floors Height 3.5 x 32 = 112M
But Britam Tower has 200m
We take 200 - 112 = 88M
Assume 20M for roofing and other issues except Mnara.
88 - 20 = 68
So Mnara height = 68M
fanya ya UAP TENA
 
hatupangi matofali sisi😀😀😀😀😀

angalia yakwenu ilivo😀😀😀😀😀 yani munapanga matofali kwenda juu
unalinganisha eight lane highway na upuzi....aibu ndogo ndogo.ata hujui faida za retaining walls wayaita matofali
 
Motochini! vipi kaka kupotea hivi hata Ktalk ulipotea yani hawa waKenya walikufunza mpaka Kiswahili ikabidi upotee kiasi? Karibu JF Tena ila hapa pia tupo na kuwapiga Tz makonde left,right and center.
TRIBALISM IN THE KENYAN WORKPLACE
JamiiForums.com, 80% ya discussions is on this topic.
 
TRIBALISM IN THE KENYAN WORKPLACE
JamiiForums.com, 80% ya discussions is on this topic.
Samahani ndugu zangu wakenya this is serious qn.. Mi naomba kujua chanzo cha kihistoria y jaruos na kikuyus wanachukiana maana cjawai sikia ugomvi wao umesababishwa na nn??? Afu najua kenya kuna makabila mengine so y hayo mawili hawapatani????
 
unalinganisha eight lane highway na upuzi....aibu ndogo ndogo.ata hujui faida za retaining walls wayaita matofali
😀😀😀😀😀😀 yani flyover ya mwaka 70 unaleta humu ya kupanga matofali kwenda juu?? kwan walls inatengenezwa na nn kama sio matofali???
 
Samahani ndugu zangu wakenya this is serious qn.. Mi naomba kujua chanzo cha kihistoria y jaruos na kikuyus wanachukiana maana cjawai sikia ugomvi wao umesababishwa na nn??? Afu najua kenya kuna makabila mengine so y hayo mawili hawapatani????
Wakikujibu please tag me[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…