Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Govi boy kama kawaida yako. Hii insha umemeandikia nani?
 
The thing you need to know is kwasasa mtanzania akikosa kitu Dar anafata China, na ndugu zanu huja huku bongo kununua bidhaa ndio China yao kwasasa.
Huyo jamaa Bado wanaishi 1970s Tanzania ilipokuwa kwenye socialism, vitu vilipokuwa banned so walikimbilia Kenya.

But nowadays sidhani Kuna mtu anaiwaza Nairobi kama backup. Kwanza vitu kwao viko overpriced. NairobiWalker ana DJI osmo pocket 3 hebu tuambie alinunua sh ngap Nairobi halafu tulinganishe na same manunuzi kwa Dar. Ni mtu crazy ataiwazia Nairobi for business
 
We mwambie tu mfano Kuna agent wa yutong Tanzania Yuko mikocheni, ila bado Kuna wabongo wanaenda kununua direct from yutong china.

Kuna kiwanda cha faw pale pwani ila Kila meli ukiingia bado Kuna malori shazi ya faw yanaungizwa na wabongo.
 
Hawa kweli huwa wanasoma maoni yetu humu jf, japo huyo mofat wamezingatia nn? Mbona mkataba wa muda mrefu hivyo? Je, akishindwa?
Ngoja tuone labda wameishajifunza kwa makosa.

Tuombe tu isijekuwa wapigaji waliokuwa UDART wamehamia Huko ili kuendeleza mirija yao. Mafisadi wana Njia nyingi za wizi, hawashindwi kuchukua % Fulani kila profit kwa miaka 12

Hio Mofat Hisa zake zingekuwa Dar stock exchange, kila mtu anunue na faida tugawane and hence tuboreshe Huduma
 
Citation please. Can you provide source ya Taarifa zako.
Yaan mnapenda kuact kama vile ni watu innocent sana in East Africa, hamjui tu watu walishawashtukia kitambo and they ignore you.
Kuna mganda mmoja akisemaga kenya have the problem of BIG BROTHER SYNDROME
 
Haya magari ya BRT ya Mofat yapo TZ tangu mwaka jana. Yalishuswa bandarini tukaambiwa yanaenda nchi nyingine. Lakini ilikuwa kimya.
 
Ziko Kila mahali bro. Stop being lazy. You are normally very good at shouting how the white man owns this % in a Kenyan company but ikija kwa hii ya EAA mnajifanya hamjui kitu. Ndio maana huwa nawaambia wengi wenu history yenu ni ya wanasiasa.



And this explains the real reason why it broke up. Forget story za wanasiasa wenu

 
Hao Xiaomi/Redmi wenyewe wana maduka na store karibu kila nchi lakini sielewi mbona hizi kondoo huwa zinapenda kubrag vitu vidogo vidogo zenye Impact ndogo kwenye jamii namna hii!
Huwezi ona hata siku moja waki brag vitu vyenye manufaa kwenye jamii, wao ni upuuzi tu.
 
Jambo la msingi, miaka 12 siyo mingi.
 
Haya tuagizie wapi tutapata catenary ya SGR hapo Nairobi?
 
Shida yao wanasubiri kufanyiwa kilakitu na wageni hawawezi wakawa na initiative yao wenyewe.
 
Shida yao wanasubiri kufanyiwa kilakitu na wageni hawawezi wakawa na initiative yao wenyewe.
Kuna huyu mwingine alikuwa anapenda kubrag upuuzi. 😂😂😂
 
Hivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
 
Nimesema DJI pocket 3 zimeisha Dar? Au kwenye dula langu pendwa? And who told you 23 years old in Tanzania don't run shops. Just why I şaíd you didnt visit Kariakoo. Ungetembelea Kariakoo ungekuta hata watoto wa 12 years running shops and they know everything

Do you know why I ignore you most of times. Unapenda kutwist my words, you always find something to be proud for ego boosing. We call it NARSISSISM. And That's a big problem in Kenya.

Ok back to the main topic, tell us the cost of DJI OSMO Pocket 3 combo in Nairobi. Just be honnest.

I speak this because, Metrozone shop City mall is sending many DJI pocket cameras to Kenya, Uganda and Rwanda, because that camera in those countries is overpriced. So they prefer buying in Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…