Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

instanbul here is another foreigner saying Nairobi is busier than Dar. When I say it, mimi ni mbishi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=BKYGOceVI0M
Juzi mmefurahi kuweka pavements mtaa mmoja na dustbins. Leo zimeshaanza kuibiwa. Halafu nyinyi ndo mngeweza kurun BRT system for 10 year like Tz. Si wangeiba vioo, dustbins na mashine zote za BRT? Tukisema nyinyi ni washamba mnabisha. Hiv mtu unaiba dustibin?
Halafu ndo mnasema mko educated? Kisa mnasifiwa na American?
 
Buses zote zinaishia city centre 🤣🤣🤣
Nilitaka nimkamate, naona kakaa kimya.

Kila kitu Nairobi.

Nilitaka ajibu huo ubize wa watu wanaenda kufanya nini Nairobi.

Akisema Nairobi kuna watu kuliko Dar tafsiri yake itakuwa Kenya ina watu zaidi ya Milioni 55 wanayo-fake.

Na kama ina watu wengi kuliko namba wanayosema, hata GFP per Capita yao ni FAKE.

Ofisi zote za serikali, binafsi, biashara, machinga Nairobi.

Kila mtu anataka kukaa Nairobi.

Miji mingine imejaa Bandits na miji midogo.

Sasa wao wanafikiri Nairobi ndio BENCHMARKING, mijini inatakiwa kuwe vile.

Na walivyo viazi, na viwanja vya AFCON wamejenga tena Nairobi.

Yaani hiyo Nairobi hata wajenge flyover 200, foleni haitakuja kuisha.
 
Are you not the same person mwenye alikataa AI? Tena ukiambiwa ulete evidence una rudi na the same AI that you didn’t want before? Ama AI is only good when it supports your claim?
 
It's not anything from anyone. It's opinions from different people of different nationalities who have been to both cities.
She doen't even know that Tanzania wasn't British colony. She has a very limited understanding of EA issues. She has zero idea of trade arrangements of EA community then na things she talks ni mambo amelishwa na Wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…