My kids still rely on me and need my presence in their lives.Chamoto bro, why don’t you run for a government seat ( you are a very educated fella) . Aren’t you concerned your government is led by bunch of school drop outs? . Those resumes are scary for individuals in positions of modern day power ( no pun)
Because haujui maana ya “if”. Ungejitahidi umalize Primary School saa hii hatungekuwa na hii discussion of explaining the importance of “if” in an apology.Tuliombwa msamaha lakini wakundustan wanaijadili if kwenye msamaha, wajue tu Tanzania sio ya kuchezea
View attachment 3353250
Hii imekaa kama ChicagoBeautiful Dar city 👇🏾View attachment 3352463View attachment 3352462
Chicago kuna gorofa tatu pekee?Hii imekaa kama Chicago
Na unajengwa na pesa ya ndani 😁Chuma hiyo apo down. 👇🏾View attachment 3352503View attachment 3352507View attachment 3352504mnuka nnya anatamani kulia. 😆..
yeye alisema Ndio kwanza tunachimba msingi. Amekuja kustuka kumbe uwanja Ndio unaelekea kumaliza. 😂😂.
Sijawahi kuona viwanja vyenye roof ya bati. ikinyesha mvua mtasikilizana kweli hapo?
Vipi nichomoe kama inauma?Chicago kuna gorofa tatu pekee?
Tuiite Serengeti Open
Ilisemekana hakuna magari yanatumia hii expresswayKama Tokyo mwanangu.
Kwasasa Nairobi kila mtu ni content creatorAlafu hawa wakenya kweli kwao kazi ni ngumu sn, ndiyo mana wakenya wote now wamegeuka you tubers, walianza kwenye betting but now wote ni you tubers mmoja wao tupo naye humu NairobiWalker
🤣 🤣 🤣 Primary school dropouts.Ilisemekana hakuna magari yanatumia hii expressway
2km train length1.5K reactions · 33 shares | Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!! | Tanzania Railways Corporation
Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!!www.facebook.com
Hapo tumekunja uso tuu hatujatamka chochote maombi ya msamaha kama yoteTuliombwa msamaha lakini wakundustan wanaijadili if kwenye msamaha, wajue tu Tanzania sio ya kuchezea
View attachment 3353250
Unajipa umuhimu wa *******.Hii ndio takataka unataka kulinganisha na Talanta?