Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And it seems they are not impressed with their CBD. Vile wanaikana ungedhani hapo ni DRC ama South Sudan.
Niliwapa ramani nikiwaambia wanichoree CBD yao inafika wapi wakashindwa. Mbilikimo Mkora akawaambia wasiseme CBD, waseme wao Hawana CBD bali City Center ndio washinde mjadala. Yani jamaa heri wakatae mji wao hauna CBD kisa nimewaumbua.😂😂
 
Hawa nyumbu si tunawatesa jamani🤣🤣🤣
Tuliwafanya wakafunga X na sasa wanaficha taarifa za wabunge wao all because of Kenyans onslaught! Hawa imebakisha tu tuwatawale wawe county no. 48
Sijui kama wewe na wapumbavu wenzako mnazo akili Sawasawa kwasababu kijana wa kenya Ndio alifirwa Tz na wengine wakafurishwa. Nyie mnapiga kelele huko X tu .. eti mnasema mnatutesa. 🤣🤣🤣 kuwa zuzu bhana.
 
CBD ya Dar iko funny..uko CBD mara unakutana na manguo zimefuliwa na kuanikwa kwa balcon.. kwani Dar hakuna residential areas?
View attachment 3349996
Shida ya Wakenya mnafikiri CBD ya Nairobi ni sawa na Dar es Salaam.

Hivi huwa hamjiulizi kwanini Dar ina watu wengi kuliko Nairobi, lakini ukifika Dar unahisi kama hakuna watu??


Licha Dar kuwa na watu wengi zaidi ya Nairobi, lakini huwezi kukuta watu wamerundikana hivi kama Omena, eti manita CBD.


View: https://youtu.be/CNSAQWN6Lyw?si=_2neYCKvG1EvCIsF
 
Tumewaeka penye walitaka kuwekwa.. 😁 😁 😁
Nyie ni taifa la watu wapumbavu sana. Nyie ni kelele tu online lakini haibadilishi chochote walakubadili uhalisia kuwa your people were physically abused by our security agencies and there is nothing your government can do about it.
Your online nonsense won't change anything, nor improve your food security.
Njaa iko pale pale!
 
Sijui kama wewe na wapumbavu wenzako mnazo akili Sawasawa kwasababu kijana wa kenya Ndio alifirwa Tz na wengine wakafurishwa. Nyie mnapiga kelele huko X tu .. eti mnasema mnatutesa. 🤣🤣🤣 kuwa zuzu bhana.
Rudisheni basi taarifa za wabunge wenu kwenye tovuti ya bunge tuone 🤣 🤣 🤣
 
1. Dar doesn't have more people than Nairobi. You can say there are more people within Dar City boundary but the total urban area of Nairobi has more people than Dar.
2. Nairobi is more densely populated than Dar.
3. The mist important one, Nairobi CBD is at the center of the city. People moving from one end of Nairobi to the other will most likely pass through the CBD. Dar CBD is on the edge. It's easier to avoid it when moving from one side of the city to the other.
4. Nairobi is generally a busier city than Dar.

If you have at least 3 brain cells you'll understand.
 
Hata ujaribu vipi ukweli utabaki pale pale, pole😎
Of course ukweli utabaki pale kwamba at 2.5 square kilometers, it is the biggest slum in Nairobi. Way smaller than your sprawling slums that cover your entire cityscape
 
CBD ya Dar ni Kama Eastleigh Iko na buildings mzee. Chini ni wauza Dera na kahawa, juu ni nyumba za kuishi, Barabara ni tuktuk na mikokoteni.
You are always creating your own happiness
Na sisi tunawaignore tu.

Nimeangalia video yako ya YouTube, Kuna comments mbili tu na zote wanakukataa kuwa sio CBD. Lakin ubishi ubishi na sura yako inaonyesha ni mbishi na arrogant.

Mitaa uliyopost hapa ni kata ya kisutu. Na Mimi ninavyojua kata ya kisutu ni maarufu kwa kuwa makazi ya wahindi na unajua wahindi wanavyoishi. Wanaishi juu na floor za chini ni shops. Kutoka hapo hadi posta Kuna kama 1km. Wew na demu wako mlitembea mkachoka hamkufika Posta.

History ya ilo eneo toka zamani lilikuwa la wahindi ambao wamesambaa mpaka upanga, posta ilikuwa ofisi na wajerumani na Kariakoo ilikuwa ya watu weusi.


Next time ukirudi Dar, kwa YouTube yako. Cover these streets ukianza na Azikiwe na Maktaba hata kama ziko under construction. Then zunguka posta yote hadi ocean. Ndo utumie title yako ya Dar es Salaam CBD
Huku zamani lilikuwa Kunajaa vipanya na vihiace na Daladala kama Nairobi. Lakin sasa ni BRT bus tu zitaingia Dar CBD. Something you have failed terrible in Nairobi.
Tuktuks za kivukoni ni suala la muda nazo zitaondolewa

Enjoy Azikiwe na Maktaba streets



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…