NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,317
- 19,685
Uganda pia wana protectionism? 🤣 🤣Acquisition was an option, na hio ndio banks zingine zimekua zikitumia kuingia Kenya during hio period ya ban. Wacha excuses, kama mlikua na uwezo wa kuingia mngekua mumefanya like other banks. Mumeshindwa kuexpand Uganda lakini Kenya ndio unakuja na excuses za ban.
Huna ulichojibu mbali umetoa maelezo yasiyokua na mashiko.Nadhani nilishaakujibu hili swali. Kama hukutosheka jitie kidole.
Mmepewa pole ya kimadharau alafu mnakuja kusherekea huku bila kujua maana ya “if” in that sentences. Nyinyi watanzania ni bure kabisa😂😂🤣😂The whole president is crying for forgiveness huyu ni chawa wa mama kama mwijaku tu 😂😂😂 anajua nini kinafata tumekasirika
Their banks are only available in Burundi😂😂Uganda pia wana protectionism? 🤣 🤣
Ameomba msamaha wapi? Unaelewa kingereza kweli?
Kwa hivo ni mambo gani wanaingilia? Hawatetei kunyanyaswa kwa opposition leaders, hawatetei kuharibu mazingira, hawapingi corruption, hawapingi ubadhilifu wa mali, hawapingi wizi wa kura sasa kazi yao ni gani?Nani kakwambia TZ hakuna wanaharakati?
Wanaharakati wetu hawawezi wakaingilia mambo ya *******.
Hata hiyo Burundi unaweza pata hawapo. Kumbuka wamezingirwa na 8 stable countries lakini banki zao hazijaingia hata moja alafu wanasema Kenya hawajaingia kisa protectionism. 🤣 🤣Their banks are only available in Burundi😂😂
Ruto ni mjanja sana. He has killed two birds with one stone, saying a public arrogant apology to impress both Tanzanians and Kenyans at the same time😂😂🤣.You do realize that is not even an apology don't you?
Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂Ruto ni mjanja sana. He has killed two birds with one stone, saying a public arrogant apology to impress both Tanzanians and Kenyans at the same time😂😂🤣.
Mtanzania kwa akili yake anadhani ameombwa msamaha na Ruto lakini kwa akili ya wakenya Ruto just applied a phrase of “Say Yes to Please a Fool”
Nenda uangalie the meaning of “if” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa Ruto😂😂🤣Hapo hapo alipokuwa anahutubia leo....kajikaza kweli kweli Hadi kuomba msamaha.... Na kuwagonga activists wenu tumewagonga....tume wa deport na msamaha wantam ameomba. Hadharanii duniani ikiona na ikisikia...
Mimi ukiniomba msamaha Hivo tunakosana tena afresh.😂😂🤣😂Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂
It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the factMmepewa pole ya kimadharau alafu mnakuja kusherekea huku bila kujua maana ya “if” in that sentences. Nyinyi watanzania ni bure kabisa😂😂🤣😂
Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa 😂😂😂Ruto ni mjanja sana. He has killed two birds with one stone, saying a public arrogant apology to impress both Tanzanians and Kenyans at the same time😂😂🤣.
Mtanzania kwa akili yake anadhani ameombwa msamaha na Ruto lakini kwa akili ya wakenya Ruto just applied a phrase of “Say Yes to Please a Fool”
Haya kuna other areas like insurance with no protectionism, mbona msikuje kenya? Tofauti na omba omba, what else represent Tanzania in Kenya?
Tena hiyo ndio inafanya awe anatia huruma zaidi, bora angesema tu nisameheNdio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂
Hiyo nayo mtangoja vile Nyerere alingoja Kenyatta amuombe msamaha. 🤣 🤣Tena hiyo ndio inafanya awe anatia huruma zaidi, bora angesema tu nisamehe
Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa 🤣🤣🤣🤣Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. 😂😂
Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamahaNenda uangalie the meaning of “if” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa Ruto😂😂🤣
Kuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the fact