chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Sasa nini kinamliza huyu nae hajui hata sisi hatupendi sababu anakula dona ya bure wakati anatakiwa apangiwe gereza la kazi huko isanga ajengewe na ukakamavu.Hajarudishwa, mkewe analia uko kunyarenda, kijamaa hakijulikani kilipo. 🤣🤣👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJ6g9QWts_5/?igsh=MXUxM2VmNjBuNXZldw==. Hii ikawe fundisho kwa wajinga wenzao.
Aseme tumemuogopa 😂😂😂 acha wamshikeshike kidogo next time wampe private jet na dollars millions 5 aje Tanzania awatukane kabisa 😂😂😂Angerudishwa kwao ungeshamuona kule x anajitapa
Tunataka kasongo aje mwenyewe kumuombea msamaha 😂😂Apelekwe Gereza la Rukwa akalime mashamba ya mahindi hiyo miezi minne. Na nasikia anafunguliwa kesi ya kupanga njama ya kuangusha Serikali ya Tanzania. Hivi kesi hii adhabu yake ni nini?
Next time Tanzania itakua kama kituo cha police, hata wapewe nini hakuna atakaekuja 😂😂😂Huu ndo umafia sasa!! Acha tuwaoneshe!!! Angebaki zake hapo Naipori haya yote yasinge mkuta. Anavuna alichopanda!!
Mimi nawashauri tu wanaharakati , haswa wa Kenya, waje tu huku kumpigania na wantoe, kwa udi na uvumba!! 😂😂
Comments huko tiktok watanzania wanasema migration walimgomea kuingia Tanzania wakijua ni mzimu mla watu 😂😂😂Huyu Mwenyewe mbona hajitendei haki 😂😂😂😂😂😂
Watu wanambana mbupu huko saa hz,unaanzaje kujitia kiherehere kwenye nchi isiyokuhusuHuu ndo umafia sasa!! Acha tuwaoneshe!!! Angebaki zake hapo Naipori haya yote yasinge mkuta. Anavuna alichopanda!!
Mimi nawashauri tu wanaharakati , haswa wa Kenya, waje tu huku kumpigania na wantoe, kwa udi na uvumba!! 😂😂
Itakuwa wanamtia chupa iliyopakwa mafuta ya nazi kwenye mshonoWatu wanambana mbupu huko saa hz,unaanzaje kujitia kiherehere kwenye nchi isiyokuhusu
Hivi jamaa huwa anawezaje kupumzika kwenye hili sura gumu hivi.Hajarudishwa, mkewe analia uko kunyarenda, kijamaa hakijulikani kilipo. 🤣🤣👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJ6g9QWts_5/?igsh=MXUxM2VmNjBuNXZldw==. Hii ikawe fundisho kwa wajinga wenzao.
Wangekuwa wapole hawatukani kama wenzao wa Uganda tungewafikirikia kidogoThey've started singing, yesterday they were trolling all over the prominent social network platform X,
Hawa wanaoimba I hope hawapo Tanzania maana they may find themselves disappearing and nowhere to be seen,
This is that one area where our Police thrives, and delights on condemning even innocents into death or lifetime servitude in Jail.
I tell you, hakuna kitu wakenya wa mitandaoni can do beyond there, may be fighting beneath keyboards. Ikifika hatua hii hakuna international organisation or even the Mighty US Government can save you.
I hope there be a Parley between the governments to release that one Kunyan Clown and that Ugandan Young lady. Siku nyingine msiwahi leta pua zenu huku.
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1925147154051395960?t=aAMym94fEvTX-RgfMKOhKA&s=19
Kwa namna walivyokuwa wanatukana Jana huko mitandaoni, inafika hatua Hadi wanawapanda Police kichwani kwa kuvamia official pages zao, sijui itakuwaje.Wangekuwa wapole hawatukani kama wenzao wa Uganda tungewafikirikia kidogo
Ukiwaambia tena waje Tanzania hutamuona mkenya. Subiri Tarehe 2 kwenye kesi kama utamuona mkenya hata mmoja.Kwa namna walivyokuwa wanatukana Jana huko mitandaoni, inafika hatua Hadi wanawapanda Police kichwani kwa kuvamia official pages zao, sijui itakuwaje.