Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ivi unaota au ni mzimu unaongeaa.. Maziwa tunayokunywa ni Asilimia 90% kutoka Tz.. Kama umeshawahi kuskia Tanga Fresh, Kiwanda kikubwa cha Maziwa.. Kinambaza karibia maeneo yote Tz.. Juz juz tu walikua wanalia wapewe kibali cha kuuza nchi za nje maana production ni kubwa.. Asilimia 85 ya maeneo yote Tz yana Ngombe hatuna uhaba Wa maziwa sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…