Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,152
- 107,721
But did Martha Karua or Justice Mutunga insult anyone or violate any law by trying to attend Lissu's case hearing? The insults r from the socialmedia n r the result of these two being denied entry into Tanzania!
Debt ni za wakenya so sioni shida hapo, Tanzania deni ni ya foreigners.
Hao wanafiki wanatafuta nini Tanzania, kwao matatizo tele kwa nini wasishughulike na matatizo ya nchi yao!But did Martha Karua or Justice Mutunga insult anyone? The insults r from te socialmedia n the result of these two being denied entry to Tanzania!
hayajakukuta ndio maana unatetea huu ujinga!Hao wanafiki wanatafuta nini Tanzania, kwao matatizo tele kwa nini wasishughulike na matatizo ya nchi yao!
Hivi mzee na wewe umeingia mkenge wa hawa paid activists!
Kazi yao si ni kumtoa Ruto madarakani, je wamefanikiwa?
Hivi kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani hapo?Hao wanafiki wanatafuta nini Tanzania, kwao matatizo tele kwa nini wasishughulike na matatizo ya nchi yao!
Hivi mzee na wewe umeingia mkenge wa hawa paid activists!
Kazi yao si ni kumtoa Ruto madarakani, je wamefanikiwa?
We are leading in that categoryDoes Tanzania have Saccos ( or similar) like Kenya where individuals can access credit for self empowerment.
Nchi yao ina matatizo lukuki wapambane nayo.hayajakukuta ndio maana unatetea huu ujinga!
Kosa lao ni lipi kwanza kuja kuhudhuria kesi mbona Kuna mawakili kutoka Comoro walikuja hamkuwazuiaNchi yao ina matatizo lukuki wapambane nayo.
Basi tukubali hata waangalizi wa kimataifa kwenye chaguzi hawaruhisiwi kabisa kuja kwenye chaguzi zetu maana wanatakiwa washughulike na yaliyo kwenye nchi zaoNchi yao ina matatizo lukuki wapambane nayo.
Hujui kuwa sisi pia tunawadharau sana nyie nyang'au?😁Nikisema wakenya wanadharau Tanzania this is what I mean.
Sasa wewe kindergarten teacher utadharau nani?Hujui kuwa sisi pia tunawadharau sana nyie nyang'au?😁
Si unaona sasa? Ha ha ha😁Sasa wewe kindergarten teacher utadharau nani?
Ungejua tunavyowadharau ungelia,hivi unajua maana ya nyang'au 😀😀,sie tunawaona kunyan wote ni nyang'auNikisema wakenya wanadharau Tanzania this is what I mean.
Nenda ukaoge wewe chokoraa wa kiatu kimoja.Ungejua tunavyowadharau ungelia,hivi unajua maana ya nyang'au 😀😀,sie tunawaona kunyan wote ni nyang'au
Hakika, pamoja na yote kwa hili wakunya amefanya vema, japo ingekuwa Mimi ningeweka ndani kwanza Hata siku mbili pale staki shari wakae na mateja, washike adabu. Kuna upumbavu sana kunya , inafika hatua wanarushia viatu rais wao, wamedekezwa. ujinga huo hata US au UK au nchi yoyote ya Ulimwengu wa Kwanza huwezi fanya ukaachwa tu, mijitu Fulani isiyofunzwa adabu. Ilitakiwa wafinywe kwanza makende ndio warudishwe kwao mlima Kenya.Binafsi sikubaliani nae kwenye mambo mengi ila kwa kilichotokea juzi na jana namuunga mkono.
Si wakahudhurire huko Sudani wanakopigana Vita tangu uhuru ? Au wakafanye harakati zao Adis Ababa wale Wana migogoro mikubwa Zaidi? Waone kama hawajanyofolewa makende na kukatwa vichwa in public.Hivi kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani hapo?
Kaka mkubwa kwenye hili tunaomba radhi, mzee, hili ni taifa letu na kamwe haliwezi kuingiliwa na watu hovyo hovyo, hata iweje. Hatuwezi kuruhusu huo upumbavu utokee, na ningeshangaa sana kama serikali ingelifumbia macho.hayajakukuta ndio maana unatetea huu ujinga!
Kuna hawa wawili bado wameshikiliwa.Hakika, pamoja na yote kwa hili wakunya amefanya vema, japo ingekuwa Mimi ningeweka ndani kwanza Hata siku mbili pale staki shari wakae na mateja, washike adabu. Kuna upumbavu sana kunya , inafika hatua wanarushia viatu rais wao, wamedekezwa. ujinga huo hata US au UK au nchi yoyote ya Ulimwengu wa Kwanza huwezi fanya ukaachwa tu, mijitu Fulani isiyofunzwa adabu. Ilitakiwa wafinywe kwanza makende ndio warudishwe kwao mlima Kenya.