babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,427
- 36,038
Hawa wa ubwabwaWapi huko wanakoambiwa 'wanapewa' viti 20?
Kwanini sasa serikali izuie kusiwe na mabadiliko , yaan Kila mtu ashinde kwa kutumia mbavi zake,Wapi huko wanapoambiwa 'wanapewa' viti 20?
Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.😁Kwanini sasa serikali izuie kusiwe na mabadiliko , yaan Kila mtu ashinde kwa kutumia mbavi zake,
Yaan
1. msimamiz wa uchaguz asiwe mteule wa rais
2. Na mengineyo?
Labda tusaidie kumzuia mtu kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani?Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.😁
Huo ndio ushahidi kuwa "wameahidiwa kuwa watapewa viti"?
Labda nikuulize wapinzani walipopata wabunge wengi bungeni kulikuwa na mabadiko gani ya katiba?Labda tusaidie kumzuia mtu kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani?
Hivi unajua kwenye hizi fani Kuna bodi na vyama , kwa mfano
Kwa wahasibu kukiwa na kikao cha nbaaa tukaalika au kukawa na washirika kutoka Kenya ni uanaharakati ? Kama haipo mawakili pia KAZI zao ni mahakamani wanaruhusiwa kuingia na kusikiliza ili wajifunze
Kwa msomi yoyote unajua kabisa kilichopo nyuma ya pazia , huwez shiriki uchaguzi bila kuwa vyama pinzani hasa cha kuu cha upinzani hapo ccm wamewaahidi washiriki uchaguzi ili ionekane kuwa kulikuwa na uchaguziHuo ndio ushahidi kuwa "wameahidiwa kuwa watapewa viti"?
Chama "kikuu" gani?😁Kwa msomi yoyote unajua kabisa kilichopo nyuma ya pazia , huwez shiriki uchaguzi bila kuwa vyama pinzani hasa cha kuu cha upinzani hapo ccm wamewaahidi washiriki uchaguzi ili ionekane kuwa kulikuwa na uchaguzi
Jiulize ilikuwa mwaka gani? 2005 - 2015 hakukuwa na kukamatakama kama saa hii, kikwete aliachia Kila mtu afe kwa kamba yake , bunge likawa la moto . Haya niambie Leo nikivumbua maovu letsay ya mtu mkubwa kama kesho ntakuwa hai🤣🤣🤣Labda nikuulize wapinzani walipopata wabunge wengi bungeni kulikuwa na mabadiko gani ya katiba?
HAyo ndo ukajiulize sasaChama "kikuu" gani?😁
Mkuu hapa tutabishana kesho huwez kuona kama wewe ni mnufaika? TchaooChama "kikuu" gani?😁
Vyama vyote vina uhalali wa kushiriki uchaguzi sio chama kamoja kujiona kina haki zaidi😁HAyo ndo ukajiulize sasa
SawaVyama vyote vina halali ya kushiriki uchaguzi sio chama kamoja kujiona kina haki zaidi😁
Tukubaliane kutokukubaliana😎Mkuu hapa tutabishana kesho huwez kuona kama wewe ni mnufaika? Tchaoo
Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.Mkuu tuwe serious kwenye hili nadhani serikali imekosea, huwez endelea popote pale kwa kukandamiza haki za watu. Hapa siku zote tunalalamika kuwa Kuna ufisadi ila ikitokea mtu kauzungumzia ufisadi ni mhaini , kwahiyo lisu kuongelea kuhusu makaa ya mawe ni uhaini.
Ushatembelea kusini au mbinga ukaona makaa ya mawe yanavyosombwa ?
Ebu tuambie kwa mwaka Jana exports za makaa ya mawe ni kiasi gani.
Kuna kampuni kama
Mighty
Ruvuma coal.
Specialized
Hizo mfano tu kwa siku zinatoka zaid ya trucks 200 kwa Kila kampuni ya makaa ya mawe , bado yanayoenda Kenya,Rwanda Uganda Zambia ila exports hatuzioni.
Serikali inatakiwa ijenge hoja sio kukamata
Umeramba pesa za Ubelgiji KwikwikwikwiPeleka hasira nyumbani kwenu kitukuu cha CCM!
Miaka hiyo ulikuwa na umri gani. Vijana wa Ubelgiji kwikwikwikwi. Maji ya moto yametiwa kwenye tundu wadudu wote mtatoka. Tutailinda Amani ya Tanzania kwa gharama yoyote. Kama Tundu Lisu anahatarisha amani yake basi yeye atalipia, kama ni wewe gharama ya amani utailipia.Jiulize ilikuwa mwaka gani? 2005 - 2015 hakukuwa na kukamatakama kama saa hii, kikwete aliachia Kila mtu afe kwa kamba yake , bunge likawa la moto . Haya niambie Leo nikivumbua maovu letsay ya mtu mkubwa kama kesho ntakuwa hai🤣🤣🤣
Duuuh mkuuu nadhani unahitaji sana iingie deep sana kwenye issue za kisiasa na uache kusikiliza propaganda.Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.
Wakenya walilipwa pesa na Ubelgiji kwaajili ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania.
Test yao walianzia kwa Mwambukusi wakashinda. Next step ilikuwa kuharibu uchaguzi. Walikuwa wamepanga kuingiza watu toka kenya kuja kuvuruga uchaguzi.
Ile ya #Rutomustgo ili target yao ni Tanzania ili nao wafuate mkumbo. But ilibuma wakaja na plan B. Nayo tumeiona.
Next step itakuwa kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kila mtu abaki kwenye nchi yake mpaka next year mwezi wa kwanza.
Angalia profile kwanza wewe umekuja juzi jamiiforum Kuna watu tumeanza ikiwa ni jambofurum . 🤣🤣🤣🤣Miaka hiyo ulikuwa na umri gani. Vijana wa Ubelgiji kwikwikwikwi. Maji ya moto yametiwa kwenye tundu wadudu wote mtatoka. Tutailinda Amani ya Tanzania kwa gharama yoyote. Kama Tundu Lisu anahatarisha amani yake basi yeye atalipia, kama ni wewe gharama ya amani utailipia.
Hatucheki na kima likija suala la Amani yetu