Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilifi yenye 40km Iko kilifi county sio Mombasa county only road kwenye project kwa Mombasa ni mombasa-mtwapa ambayo 16 km only🤣🤣🤣
Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
 
Hiyo 6.5km Iko wapi? Bro, unachizi. Halafu hiyo 47km wapi imeandikwa kuwa dual carriageway?
We kama umeamua kulia nimekwambia lia. 🤣🤣 hii habari nadhani uliipost pia.. 👇🏾kwa kiswahili hapo imelezwa hivi:-

Zitajengwa km 3.1 barabara mpyaa
Zipanuliwa km 3.4 barabara iliyokwisha kuwepo.

therefore we gonna have 6.5km of new dual carriage way. Hapo huelewi nini mzee.? 🤣🤣🤣
 

Finyaaaaaa hio mbilikimo. 🤣🤣🤣
Wewe nduguyo leo ni kichapo tu. 🤣🤣🤣
 
Niliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.
Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km hii hapa ingine 👇🏾1.5kmnyingine 👇🏾2.5kmnyingine hii 600 meters 🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani
 
Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
Basi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400
Naomba uchukue km zote za Mombasa metropolitan Mimi ntadili na dodoma tu halafu tufikie mwafaka🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…