Anyway, I don't it as a big deal.Picha nimetoa kwenye page ya maisha supermarket, nenda uhakukishe. Zesta tomato sauce, proudly KENYANView attachment 3338245
Inamaanisha nini!?Pizza inapikwa kweli ๐๐๐๐
Mshamba wa vyakula wewe.Ebu tuna hiyo video tuone, I know hakuna kitu unajua kupika hapo.
Umebadilisha gear wakati bado ndo nafanya warm- up, Azam haiwezi fikia kiwango cha bidha tulizowajazia kwenye shelf.Anyway, I don't it as a big deal.
Kwasabbu hata Kenya kuna bidhaa nyingi za TZ hasa Azam brands
Hatufuatilii mambo yenu nyef nyef....Washatombw.a huko ๐๐๐
View: https://x.com/SimbaSCTanzania/status/1923846490440532427?t=pd66A1BUOy2ONc58iwBFZw&s=19
Nani alikudanganya gikomba hakuna modern market?Wajenge basi, soko hata kama la Kisutu.
Na Zesta pia iko hapo juu yake.Maisha supermarket, naona peptang tomato sauce.View attachment 3338225
Muone huyu ๐คฃ๐คฃ๐คฃOnce completed it will be the biggest irrigation system in E.A and can supply 41% of our Maize demand. View attachment 3337979View attachment 3337980View attachment 3337981View attachment 3337982View attachment 3337983View attachment 3337984View attachment 3337985
Post it hereNani alikudanganya gikomba hakuna modern market?
Ingekuwa ni enefficient isingekuwa inapokea meli nyingi bado wateja wangelimbilia lamu ambako Kuna berths nyingi sana lakini lamu kwa mwezi inapokkea meli mbili huku Tanga na mtwara ambako Kuna berths chache zikipokea almost 10 ship each per month๐คฃ๐คฃ๐คฃDar is inefficient in handling big ships ndio maana wameamua kutofika Dar port. As long as dar remains ineffective Lamu port will reap big..
Unatamani uamke ukute ma slums hayapo lkn ndiyo haiwezekani, nyie wakenya wa kizazi hiki cha kipumbavu mtakufa wote mkiacha ma slums yame triple.The new face of MukuruView attachment 3337949View attachment 3337950
Meanwhile...the new and old phase of Dar ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3337951View attachment 3337952
Upo dunia gn mzee, mbn picha ya zamani sanaa hii. Kipindi Simba wanatumia gari hilo kwenye paredi nadhani timu zenu zilikuwa zinatumia baiskeli.This is next level, cheki hizo model za gari ๐๐View attachment 3337997
Na bado watu wanateta Kasongo Must Go!โฆ hii ingekuwa TZ wangeweka statue ya Mama at the entrance ๐คฃ๐คฃโฆ I think Ruto is trying to put up so much development by curbing wastage and corruption ( except for his close inner circle) as a way to ensure his economic deeds do the talking for 2027 elections. Heโs seriously moving fast. Development is everywhere na bado Gen Z donโt care ๐คฃ๐คฃOnce completed it will be the biggest irrigation system in E.A and can supply 41% of our Maize demand. View attachment 3337979View attachment 3337980View attachment 3337981View attachment 3337982View attachment 3337983View attachment 3337984View attachment 3337985
A to Z supermarket TZ, Weetabix East Africa HQ na factory iko Nairobi, Proudly Kenyan ๐Post it here
Hakuna section kwenye supa zao utakosa Kenyan Goods. Wacha waendelee kuuza makaa, mahindi na kuni sisi tukifanya value addition na kuzirudishaNa Zesta pia iko hapo juu yake.
Chagua kidole kimoja โ ukalie ๐๐Hatufuatilii mambo yenu nyef nyef....
Kwahiyo pizza haipikwi? Inaanikwa? Au tuambie unajua nini maana ya kupika?Pizza inapikwa kweli ๐๐๐๐