Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yea, you put it right.. hatufanani kabisa! One of us is woke while the other is toast, brainwashed
 
CBD ni mfumo wa kizamani wa mipango miji, kulimbikiza kila kitu katikati ya mji, unakumbuka? "All roads lead to Rome", a saying as old as the empire that built them. Our brothers are stuck in the past.
 
Ndio maana wengi wao huwa wakija Dar wanasema , eti mbona Dar hakuna watu.

Na Dar es salaam ina watu wengi kuliko Nairobi.

Huko Nairobi wote wamebanana sehemu moja, kwenda CBD.

Kila kitu Nairobi.

Kuna wengine niliwaona kwenye video moja ya ujenzi wa Uwanja wa Arusha, wanashangaa eti mbona unajengwa porini😅

Wao viwanja vyao vya Talanta na Kasarani vyote wana-force vinajengwa Nairobi.

Hiyo Nairobi haitakuja kuisha JAM hata wajenge Flyover 500 kwa akili zao.

 
Maumivu peleka Tandale. Kila kitu Nairobi?

Doesn't Dar hold almost 70% of Tanzania's economic actvity? Nyinyi ni nyani tu wasioona kundu zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…