Hii ndio akili ulitumia shuleni ama Kuna ingine umeficha mahali?Acha wazijenge hapa wanaenda kuuwa reli yao. Kwa mfano kwa sasa ambapo hakuna highway ya Nairobi Mombasa ila abiria wa wakipanda treni wameshuka kwa 200,000 siku kukiwa na tolls wenye mabasi watapandisha kidogo na watakuwa wanawahi kuliko hata treni hivyo treni automatically itashuka .
Tukija kwenye malori sasa hivi Kuna malori ya umeme.
Wafanyabiashara watahamia kwenye malori ya umeme na gharama ya mafuta zitapungua ila watakimbilia kulipa toll free ili watembee fasta na mzigo utafika haraka sana kuliko kutumia treni.
Acha wqjenge barabara🤣🤣🤣🤣
Ushawahi sikia wapi middle income country ikashindwa kulipa mishahara ya watumishi wake mpaka ikakopeIn first world countries Kuna watu wanalala under bridges or in their cars, maisha ni ghali, gharama iko juu, ila on average wako na first world social amenities provided by their govt, standard schools, hospitals, health insurance, tertiary institutions., etc, na pia utapata mtu ako na maisha mepesi in a poor country kana Tanzania or developing kama Kenya, haimaanishi eti sasa wako developed., Wacha ujinga kilaza🤣🤣🤣🤣., raiya wa Seychelles have higher standards of living than Egyptians, or South Africans on average basis, but SA and Egypt are more developed than Seychelles by far ikija infrastructure!.., Most European countries ziko na better standards of living and high class social amenities available to all its citizens on average than it is in China, ila hakuna taifa Europe imeizidi China kwa uchumi(GDP) ama infrastructure kwa ujumla.., ama utabisha?., ila Tanzania haiwezi kutajwa kama China wala Marekani, nyie ni fukara tu.., level yenu ni Bangladesh na akina DRC.., Cameroon types
Kamuulize babako maana ndo nilikuwa namfundisha mpaka ukapata adaHii ndio akili ulitumia shuleni ama Kuna ingine umeficha mahali?
Mbona hiyo PPP hamuisemi vibaya ikifanyika kwenu?Rwanda ni landlocked, hana option nyingine.
TAZARA wameshapewa Wachina (PPP). Wanafanya revamping.
Watanunua mabehewa mapya na watarekebisha reli, Cape Gauge.
Congo wakikaa sawa, wataunganisha SGR kutokea Burundi to Kindu.
Congo hata wakichelewa, reli ikifika Musongati Burundi, wataanza kuchukulia mizigo yao Burundi.
Heheeee kama wala sisi hatuoni shida ila KAZI yetu ni kufunga koki mkituzingue muone nani atakufa njaa🤣🤣🤣🤣In first world countries Kuna watu wanalala under bridges or in their cars, maisha ni ghali, gharama iko juu, ila on average wako na first world social amenities provided by their govt, standard schools, hospitals, health insurance, tertiary institutions., etc, na pia utapata mtu ako na maisha mepesi in a poor country kana Tanzania or developing kama Kenya, haimaanishi eti sasa wako developed., Wacha ujinga kilaza🤣🤣🤣🤣., raiya wa Seychelles have higher standards of living than Egyptians, or South Africans on average basis, but SA and Egypt are more developed than Seychelles by far ikija infrastructure!.., Most European countries ziko na better standards of living and high class social amenities available to all its citizens on average than it is in China, ila hakuna taifa Europe imeizidi China kwa uchumi(GDP) ama infrastructure kwa ujumla.., ama utabisha?., ila Tanzania haiwezi kutajwa kama China wala Marekani, nyie ni fukara tu.., level yenu ni Bangladesh na akina DRC.., Cameroon types
Kwetu PPP ni limited.Mbona hiyo PPP hamuisemi vibaya ikifanyika kwenu?
Wanashindwa mpaka kulipa mishahara sijawahi sikia Tanzania?Kwetu PPP ni limited.
Kenya its too much.
So what are you doing with your wide tax base??
There's only one PPP project in Kenya right now. How's one project too much?Kwetu PPP ni limited.
Kenya its too much.
So what are you doing with your wide tax base??
Nyie ni fukara, level yenu ni mihogo na maharage, kwa utapia mlo mnaongoza ukanda huu🤣🤣, tusiponunua mavuno yenu wakulima wenu mafukara ata pesa ya kununua chumvi na chupi watakosa., mko hovyo zaidi mnavyo dhania., hilo mnajua, bora liko wazi sana!, hapa mmekuja kujiliwaza tu., blind patriotism hii🤣🤣🤣🤣.., mko hovyoooo!!Heheeee kama wala sisi hatuoni shida ila KAZI yetu ni kufunga koki mkituzingue muone nani atakufa njaa🤣🤣🤣🤣
Hahaha 1 projectThere's only one PPP project in Kenya right now. How's one project too much?
Just say you're a hypocrite.
SHAThere's only one PPP project in Kenya right now. How's one project too much?
Just say you're a hypocrite.
Mbona umepaniki🤣🤣🤣🤣🤣🤣siku zote tajiri hapaniki inaonekana njaa zinawasumbua. Nyinyi ni maskini tu hata mkataaje . Mkikataaa tunauza sehem kibao tu Malawi,drc , Zambia ,Comoro 🤣🤣🤣🤣Nyie ni fukara, level yenu ni mihogo na maharage, kwa utapia mlo mnaongoza ukanda huu🤣🤣, tusiponunua mavuno yenu wakulima wenu mafukara ata pesa ya kununua chumvi na chupi watakosa., mko hovyo zaidi mnavyo dhania., hilo mnajua, bora liko wazi sana!, hapa mmekuja kujiliwaza tu., blind patriotism hii🤣🤣🤣🤣.., mko hovyoooo!!
Watu wa Taita wanakuja sana TZ kuomba omba chakula na ndizi.Nyie ni fukara, level yenu ni mihogo na maharage, kwa utapia mlo mnaongoza ukanda huu🤣🤣, tusiponunua mavuno yenu wakulima wenu mafukara ata pesa ya kununua chumvi na chupi watakosa., mko hovyo zaidi mnavyo dhania., hilo mnajua, bora liko wazi sana!, hapa mmekuja kujiliwaza tu., blind patriotism hii🤣🤣🤣🤣.., mko hovyoooo!!
Estates za wahindi, wazungu na wasomali Nairobi😂😂WhyNi kajinga, hakapendi ukweli kwamba Kenya kuna ma slums mengi kuliko mji wowote duniani. Utakakuta kanaweka vipicha picha vya kuchagua vya estate mbili tatu nzee za wazungu, wahindi na wasomali lkn anapoishi yeye na more than 80% ya wakenya wote haweki.
🤣🤣🤣 Wacha nikuache, maanake nikibishana na chizi watu hawatajua chizi ni nani Kati yetu.🤣🤣🤣SHA
Nairobi Expressway
eCitizen
Mombasa Port
++++++++++++
Few of them
🤣🤣🤣 Wacha nikuache, maanake nikibishana na chizi watu hawatajua chizi ni nani Kati yetu.🤣🤣🤣
Nimesema Wacha nikuache. Umenifanya nimecheka sana.🤣🤣