🤣 🤣 🤣 Yet most part of dar is a slum is unplanned hata heri Kinshasha.Huamini kwasababu umezoea mediocrity huko Kenya. Endeleeni kuwa kwenye denial, sisi tunasonga mbele bila kupiga kelele.
BRT ni serikali ya Mkapa ndiyo walifanya upembuzi yakinifu, SGR ni serikali ya Kikwete, Bwawa la Nyerere ni serikali ya Magu walifanya modification ya ile aliyofanya Nyerere '70s Awamu hii ya Samia juzi wamemaliza upembuzi yakinifu reli ya kusini.
Tanzania inawatu wanavichwa vizuri, tuna matatizo madogo madogo tuu kama ya uchawa ila kwa tuko vizuri kuliko nchi nyingi Afrika.